Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,418
108,517
Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda Vituo vingi vya Polisi 'vikafurika' Watu wa kutaka 'Fomu' za Kupotelewa Simu kwa 'Kuibiwa' ili 'wakarinyuu' Namba zao.
 
Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile Sura nilizoziandika nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda Vituo vingi vya Polisi 'vikafurika' Watu wa kutaka 'Fomu' za Kupotelewa Simu kwa 'Kuibiwa' ili 'wakarinyuu' Namba zao.

Popoma , tumekupata vzr
 
umenikumbusha mechi ya Yanga na Mbeya Kwanza kwenye uwanja wa sokoine juzi; watu walilizwa sana, ndio nikiamini civilization kwa wenzetu bado sana
Na Wezi ( Vibaka ) wengi siku hiyo Sokoine Stadium walikuwa ni Ndugu zake Mchezaji Deus 'Mwaisa' Mtu Mbadi Kaseke na Simu zote zilizoibiwa zimefichwa na Kocha Nabi.
 
Back
Top Bottom