Vituko nilivyomfanyia huyu demu kwenye simu jana hatawahi tena kunitafuta

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,716
29,071
Mzuka wanajamvi.

Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick.

Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love.

Hanijibu msg zangu hanipigii simu mara kwa mara kama mwanzo namuona yuko online WhatsApp lakini hanijali.

Niliumiaga sana hadi kulia kwasababu najijuaga moyoni niko mdhaifu sana. Hii hali iliniathiri sana kisaikolojia hata utendaji wangu wa kazi ukapangua.

Nilikuwaga naingia jamvini kutafuta faraja kuwakera watu hasa wakati ule vita vya Israel Gaza zimeanza mwanzo mwanzo lakini wadau humu wakawa wana niignore tu badala ya kunitukana kunisaidia.

Nilipiga magoti na kumuomba Mungu aingilie kati anisaidie nimsahau niendelee na maisha yangu ya kawaida. Yaani hata kwenda mazoezi gym niliacha. Nilimpenda sana huyu demu mnene hips Pana yani maridadi.

Mungu alisaidia hadi sasa hivi bado siamini niliwezaje kumsahau na kusonga mbele.

Sasa jana usiku nalala sikuamini kanitumia msg WhatsApp Happy new year F, I miss u so much. Nilishtuka sikuamini. Nikasoma sikujibu.

Akaniandikia tena F forgive me I miss u so much I wud like to see you come to my apartment please. Nikampotezea sikumjibu.

Akapiga simu ikaita muda mrefu nikapokea. Nikamjibu what the hell do you want? Akajibu please come to my apartment or I come to your place I miss you and I would like to see you.

Nikamuambia okay am coming within one hour I will be there nikakata simu. Nkajifunika blanket na kuendeleaa kulala wala sikushtuka wala nini kwasababu mimi nikishamtoaga mtu moyoni na maishani mwangu sijali.

Baada ya lisaa akatuma msg are you coming? Nikampotezea sikumjibu akaamua kunipigia. Where are you one hour has passed and you are no where to be seen.

Nikamjibu I was on the way coming I came across a herd of goats and they attacked me and bitten me violently na kuanza kulia kama mbuzi meeeeh meeeeh meeeh meeh dem akamind wtf mimi naendelea kulia tu kama mbuzi meeh meeeh, you really need help mimi naendelea kulia tu kama mbuzi meeh meeeh meeeh akamalizia fakyu go back to Africa na kukata simu na kuniblock.

Nikatabasamu na kujisemea tayari nimeshamuwin kisaikolojia na kulipiza kisasi nikavuta blanket na kuendelea kulala wala sikujali.

Nimeamka asubuhi nina furaha sana.
 
Hii style yakulia kama mbuzi naitumiaga sana kuwakera nakulipiza kisasi kwa walionikera kuniumiza na kuniudhi. Pia hii naitumiaga sana mbrrr mbrrrr naninatukanagwa sana basi nafurahiiiii.

Adui yako muombee njaa tu utakuwa mpumbavu ukimuombea shibe.
 
Mzuka wanajamvi.

Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick.

Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love.

Hanijibu msg zangu hanipigii simu mara kwa mara kama mwanzo namuona yuko online WhatsApp lakini hanijali.

Niliumiaga sana hadi kulia kwasababu najijuaga moyoni niko mdhaifu sana. Hii hali iliniathiri sana kisaikolojia hata utendaji wangu wa kazi ukapangua.

Nilikuwaga naingia jamvini kutafuta faraja kuwakera watu hasa wakati ule vita vya Israel Gaza zimeanza mwanzo mwanzo lakini wadau humu wakawa wana niignore tu badala ya kunitukana kunisaidia.

Nilipiga magoti na kumuomba Mungu aingilie kati anisaidie nimsahau niendelee na maisha yangu ya kawaida. Yaani hata kwenda mazoezi gym niliacha. Nilimpenda sana huyu demu mnene hips Pana yani maridadi.

Mungu alisaidia hadi sasa hivi bado siamini niliwezaje kumsahau na kusonga mbele.

Sasa jana usiku nalala sikuamini kanitumia msg WhatsApp Happy new year F, I miss u so much. Nilishtuka sikuamini. Nikasoma sikujibu.

Akaniandikia tena F forgive me I miss u so much I wud like to see you come to my apartment please. Nikampotezea sikumjibu.

Akapiga simu ikaita muda mrefu nikapokea. Nikamjibu what the hell do you want? Akajibu please come to my apartment or I come to your place I miss you and I would like to see you.

Nikamuambia okay am coming within one hour I will be there nikakata simu. Nkajifunika blanket na kuendeleaa kulala wala sikushtuka wala nini kwasababu mimi nikishamtoaga mtu moyoni na maishani mwangu sijali.

Baada ya lisaa akatuma msg are you coming? Nikampotezea sikumjibu akaamua kunipigia. Where are you one hour has passed and you are no where to be seen.

Nikamjibu I was on the way coming I came across a herd of goats and they attacked me and bited me violently na kuanza kulia kama mbuzi meeeeh meeeeh meeeh meeh dem akamind wtf mimi naendelea kulia tu kama mbuzi meeh meeeh, you really need help mimi naendelea kulia tu kama mbuzi meeh meeeh meeeh akamalizia fakyu go back to Africa na kukata simu na kuniblock.

Nikatabasamu na kujisemea tayari nimeshamuwin kisaikolojia na kulipiza kisasi nikavuta blanket na kuendelea kulala wala sikujali.

Nimeamka asubuhi nina furaha sana.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom