Tupia namba ya matapeli ya miamala ya simu

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,745
Watu bado wanatapeliwa jamani tuache masihara! Hali inatisha, mshikaji wangu jana imemtoka 120,000 hivi hivi eti kapigiwa simu kaambiwa kuna ofa yake mtandao fulani wa simu, ila aweke hicho kiasi cha pesa atumiwe ofa yake isiopungua 1 million.

Muda muafaka wa hizi namba kwa nini tusi-share hapa zijulikane jamani hali ni mbaya sana hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Ni wazo tu jamani, najua matapeli watauchukia huu uzi. Ni vizuri tukiweka na ushahidi kama upo.
 
Kwahiyo ukipigiwa simu na namba mpya uje huku uangalie kama ni tapeli?

Kwa akili hizi Mwakyembe ni halali ajivunie degree zake 4. Yaani hilo ni suala la mtu mwenyewe kutumia akili, utaweka namba ngapi hapa?
 
Kujivunia degree 4 ni upumbavu, unaweza ukawa na degree 4 ukawa na akili ndogo na usiwe na hekima na busara ukazidiwa na wa for 4 O level au A level kwa busara.
Kwahiyo ukipigiwa simu na namba mpya uje huku uangalie kama ni tapeli?

Kwa akili hizi Mwakyembe ni halali ajivunie degree zake 4. Yaani hilo ni suala la mtu mwenyewe kutumia akili, utaweka namba ngapi hapa?
 
Mwambie hana Akili
Na Akazane kufanya kazi aache Kuwazia vitu vya mterezo
Uliona wapi umeshinda na utume pesa!!
Ajabu kuna watu ni Vilaza Wakutupwa
Anatumiwa Sms namba yake Voda
Mtumaji Halotel
Hata kufikiria Hakuna !!
 
Sijamsema hana akili nimetoa mfano; ila sisi ndio tunaweza kujivunia degree alizo nazo mtu flan baada ya kuona kile anachotufanyia na anavyo jishugulisha ili tunufaike na kwa kuboresha maisha yetu. usikuze mada
 
Sasa huo mfano kama si kweli haiwezi kumaanisha hicho usemacho. Mimi nilijua una uhakika kuwa hana akili ili nami nijue mapungufu yake.
Ni kweli hana akili mkuu .logic ya asemacho mtu hu reflect akili yake. Huyo mzee amewahi kuropoka watu wasioane bila cheti ya kuzaliwa. Thinking ya mtu asiye na akili
 
Ni kweli hana akili mkuu .logic ya asemacho mtu hu reflect akili yake. Huyo mzee amewahi kuropoka watu wasioane bila cheti ya kuzaliwa. Thinking ya mtu asiye na akili
Kusema watu wasioe bila kuwa na vyetu vya sekondari ni tafsiri ya kutokuwa na akili?

Akili ni nini kwani.
 
huyo jamaa hana akili nadiriki kusema hivyo, yani mtu unatapeliwaje hivyo siku hizi? akome
 
Jf raha sana! Kuna kitu nimejifunza hapa...Ingawa walimu wangu wametumia hasira kunielekeza.
 
Acha utapeli broo
Kwahiyo ukipigiwa simu na namba mpya uje huku uangalie kama ni tapeli?

Kwa akili hizi Mwakyembe ni halali ajivunie degree zake 4. Yaani hilo ni suala la mtu mwenyewe kutumia akili, utaweka namba ngapi hapa?
 
FAIZAFOXY.png
 
Back
Top Bottom