Mitandao yote ya simu inatakiwa kushitakiwa

Mitandao yote ya simu inatakiwa kushitakiwa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,642
Reaction score
58,370
Mitandao yote ya simu kuanzia Vodacom, Airtel, Holotel, Tigo, Zantel na TCCL. Wanatakiwa kushitakiwa kwa kuruhusu mawasiliano yetu kuingiliwa na serikali, muda mwingine wanawapa taarifa za wateja serikali ambao hawana madhara yeyote sio majambazi sio magaidi inakuwaje mitandao inaruhusu kuingiliwa kwa faragha za watu? mtu na mke wake wanaongea eti wanadakuliwa ili iweje kwa faida ya nani?

Mbona hawajifunzi kwa jamii forum inavyotunza siri za wateja wake?
 
Mitandao yote ya simu kuanzia Vodacom, Airtel, Holotel, Tigo, Zantel na TCCL. wanatakiwa kushitakiwa kwa kuruhusu mawasiliano yetu kuingiliwa na serikali, muda mwingine wanawapa taarifa za wateja serikali ambao hawana madhara yeyote sio majambazi sio magaidi inakuwaje mitandao inaruhusu kuingiliwa kwa falagha za watu? mtu na mke wake wanaongea eti wanadakuliwa ili iweje kwa faida ya nani?
Ni kuweka recordas kuwasitaki wakafilisika!
 
nina hamu ya kudukuliwa

basi tu wenyewe tcra wanaogopa tifu lake
 
Back
Top Bottom