Napiga simu hupokei kumbe uko na malaya zako

Napiga simu hupokei kumbe uko na malaya zako

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Sasa hapa ningepokeaje simu?

mzigo.jpg
 
Usijali huo ndio uanaume, Wanaume msiogope kusema ukweli juu kazi zenu halisi mliambiwa mtakula kwa jasho.
 
Nitatetea msimamo wangu kwa gharama yeyote, wanawake watu wa kupayukapayuka hata bila sababu za msingi. INFERIOTITY COMPLEX.
 
ukimwambia kweli kabla hajakupa papa, tegemea kupigwa kalenda na vizinga juu
 
Back
Top Bottom