Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

Ila Feisal yule dogo ana busara sana.

Mwaka jana zile mechi walizocheza Yanga na Azam wakati Feisal yupo kwenye mgogoro na Yanga hivi mnakumbuka matukio baada ya mechi?

Yanga waliposhinda walianza ku shout kuwa "Feisal hatumtaki, Feisal hatumtaki"

Walionesha kila aina ya dhihaka kwa Feisal.

Ally Kamwe naye akaja kumfananisha dogo na andazi, dogo akapiga kimya tu.

Angalia sasa jana amefunga goli lakini cheki reaction yake ilivyokuwa ya kiungwana.

Hivi imagine angekuwa ndio Morrison amefanyiwa vile na Yanga halafu jana ndio katia bao, unafikiri angeshangiliaje?

Kama tu kule Kigoma alivua nguo na kuwaoneshea ndudu, vipi kwa mgogoro na dhihaka alizopitia Feisal ingemkuta yeye???
 
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.

Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
hivi unaidhamini kolo fc kufanya hivyo!!!
unawajua makolo wewe?
makolo nafasi yao ya tatu msimu huu
 
Ila Feisal yule dogo ana busara sana.

Mwaka jana zile mechi walizocheza Yanga na Azam wakati Feisal yupo kwenye mgogoro na Yanga hivi mnakumbuka matukio baada ya mechi?

Yanga waliposhinda walianza ku shout kuwa "Feisal hatumtaki, Feisal hatumtaki"

Walionesha kila aina ya dhihaka kwa Feisal.

Ally Kamwe naye akaja kumfananisha dogo na andazi, dogo akapiga kimya tu.

Angalia sasa jana amefunga goli lakini cheki reaction yake ilivyokuwa ya kiungwana.

Hivi imagine angekuwa ndio Morrison amefanyiwa vile na Yanga halafu jana ndio katia bao, unafikiri angeshangiliaje?

Kama tu kule Kigoma alivua nguo na kuwaoneshea ndudu, vipi kwa mgogoro na dhihaka alizopitia Feisal ingemkuta yeye???
 
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.

Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
YAnga waki.... na... , Simba anakuwa.. Asipo... . Au Yanga aki.. mechi 2 , Simba aka..... zote.
Basi Simba bingwa

Babu hizi probabilities zote kaaah 🙌🙌
 
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.

Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa
 
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.

Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Bado unaamini kwamba yanga wanashinda mechi zao kwa uwezo wao na sio BAHASHA?

Yanga hata iwe na majeruhi kiasi gani,,kama BAHASHA imeshatoka basi hesabu maumivu.
 
Back
Top Bottom