Mtawaona leo watakavyokuwa 'Nyoronyoro' wakicheza na Yanga SC, ila wakicheza na Simba SC utadhani wana 'Mota' Makalioni mwao

ukicheza mpira na master lazima utaonekana hujui. Yanga ni master hivyo lazima waonekane hawajui. Ila wakikutana na vibonde wenzao basi wataonekana wanasakata kabumbu hatari. Mwenye akili katika darasa la vibonde akipambanishwa na mwenye akili katika darasa la watu smart ataonekana hana akili kabisa.
 
Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Siyo Azam tuu wanaokuwa nyoronyoro wakicheza na Yanga, makolo ndo hulegea kabisa na kulowa makalio Hadi utopolo kupiga bao tano kimtelezo kabisa.
 
Azam fc wanavyo muona utopolo
GE4yjyaXwAECOsb.jpeg
 
Kama timu lako likianzisha kucheza nyoronyorooo kwanini Azam acheze mdundiko?, Azam mechi ya mwisho amefungwa 3-2... We timu lako limefungwa 5-1 hapo Kati timu lako na Azam nani alaumiwe alikubali kuingiziwa mpini bila kilainishi?.

Hakoo Mr popomaa GENTAMYCINE
 
Matusi ya nini sasa Wewe hujui sasa tuko katika Kwaresma na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Punguza huko kuvuta Bangi huku ukiwa bado hujala au umeamkia kula Kiporo cha Makande.
 
Matusi ya nini sasa Wewe hujui sasa tuko katika Kwaresma na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Punguza huko kuvuta Bangi huku ukiwa bado hujala au umeamkia kula Kiporo cha Makande.
Ukiandika upuuzi wako usikumbuke kwaresma sawa popoma. Ukiwa kwaresma acha kuandika Mambo ya kipumbavu.. Simba mlivyokandwa 5-1 Azam walilamika au unyounyooo wenu unawasumbua?.
 
Kama timu lako likianzisha kucheza nyoronyorooo kwanini Azam acheze mdundiko?, Azam mechi ya mwisho amefungwa 3-2... We timu lako limefungwa 5-1 hapo Kati timu lako na Azam nani alaumiwe alikubali kuingiziwa mpini bila kilainishi?.

Hakoo Mr popomaa GENTAMYCINE
Yalaumiwe majini...
 
Back
Top Bottom