simba

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kisugu, GB 64, Pasi Milioni na Mzaramo hawaikosoi Simba why? wamemzidi nguvu Ahmed Ally

    Hivi Simba ni Lini imewateua Hawa watu kuwa wasemaji wa Washabiki wa Simba, mana wao wamekuwa wakisifia Simba hata ikifungwa na na nguvu nyingi wameweka kuikosoa Yanga. Tofauti na Mashabiki wengine wa Simba , wasemaji Hawa wa mashabiki wa Simba , wamesema haya ni moja ya matokeo ya Mpira hivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba wameumia, lakini wataumia sana Yanga ikishinda leo

    Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa. Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo. Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe. Vinginevyo mtakuwa na yale macho ya kichawi yaani huwezi kumuangalia mtu machoni...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba ni wakati sasa wa kupumzika na kupumzisha akili zetu kwenye mambo mengine

    Ukisikiliza propaganda za viongozi wa Simba unaweza sema timu ina maajabu ila kiuhalisia hakuna kitu. Masuala ya kusema kila mara tumejitahidi hayana tija. Mashabiki tunaumia sana na watoa maamuzi ndani ya club, mtu unaacha shughuli zako, unatoka mbali ili uisapoti timu ila unachokutanacho...
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

    Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

    Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20. Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza...
  8. demigod

    JamiiForums Tanzania SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba sc leo, Ninaimani zaidi na Yanga kesho inshaallah!

    Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo fainali mzunguko wa kwanza. Wanaume hao wanatoana jasho leo ktk dimba la Mkapa lililopo Temeke Dar...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Shabiki Wa Simba Kuishabikia Yanga, Wa Yanga Kuishabikia Simba ni Uzalendo Wa Kipuuzi

    Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huwa sipendi sana Shomary Kapombe kufanya Pre Match Meetings pale Simba SC ikiwa na Mechi ngumu Kesho yake

    Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media. Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya...
  14. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu. Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
  16. A

    JamiiForums Tanzania CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

    Wakuu wasalaaaamu! Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'. Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly

    Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

    Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa. Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena. Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

    Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm 2019 Simba 0 TP Mazembe 0 2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0 2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0 2023 SIMBA 1 WYDAD 0 Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Back
Top Bottom