Simba walitaka kumsajii Pacome ila waliogopa Chama atanuna

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha global TV kinachoitwa kross dongo. Inasemekana jina lake lilikuwepo kwenye orodha ya wachezaji waliopendekezwa na scout ya simba mwishoni mwa msimu uliopita.

wameenda mbali zaidi na kusema Pa Omary na Fredy sio mapendekezo ya scout ya simba bali ni maamuzi ya viongozi na utafiti walioamua kuufanya wao kama wao bila kuhusisha scout.
 
Hapa bongo kuna scout gani bwana wewe sisi tunabahatisha wachezaji tu. Huko wenzetu wanamwangalia mchezaji mechi za kutosha kujiridhisha, sisi huku tunaenda na upepo tu.
 
Back
Top Bottom