Simba ilikuwaje wakamuuza Bwalya?

BUDANOV

JF-Expert Member
Apr 19, 2023
2,846
4,333
Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo?

Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee.

Halafu tukiwauza/ au kuwaacha wanapitia mlango nyuma na kuwasajili mfano Augustine Okra
Kweli jamani
 
Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo?
Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu
Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee
Halafu tukiwauza/ au kuwaacha wanapitia mlango nyuma na kuwasajili mfano Augustine Okra
Kweli jamani
Ongezea wamemtoa Phiri wakamsajili Fredy🤣🤣
 
UBUNTU BOTHO
IMG-20240316-WA0253.jpg
 
Bwalya alihitaji changamoto nyingine, kuhusu okra mbna Simba hakua akipangwa kwa kigezo Cha majeraha na ulevi uliopindukia, had kufikia kumuacha Simba ilithibitisha hawafai kwa mbio zao za kutafta mataji.
Hizi lawama Leo anapewa yanga kivipi?!!
 
Kuna shida kwenye uongozi wa timu hata niliposikia wamemwacha okrah nilishangaa sana.
Jamaa hata kama ni mtovu wa nidhamu lakini sio Kwa kiwango kile tulichoaminishwa.
Okrah ni mchezaji mzuri na bora nakumbuka goli alilotufunga kwenye derby lile hufungwa na wachezaji wenye quality kubwa jamaa ana speed,anaweza kumiliki mpira na anafahamu kufunga pia.
 
Virusi ndani ya Simba ni Mangungu na Try again hao ndio wachawi hasa na Simba haitwahi kufanikiwa chini ya hao virusi wawili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom