Wakuu,
Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata lawama ikitokea ni rahisi kujua ziende wapi.
Kwasasa hao Friends of Simba wamepasuka na...