D DeletedMember281674 Guest May 14, 2026 #1 Wazee wa ulabu, mjaribu hichi Kinywaji mtanishukuru baadae...wazee wa maji, Kinywaji kinawahusu hiki.
Wazee wa ulabu, mjaribu hichi Kinywaji mtanishukuru baadae...wazee wa maji, Kinywaji kinawahusu hiki.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,306 Reaction score 129,574 May 14, 2026 #2 Nguvu ya simba yupi bhana, semeni mnakunywa mataputapu.
gwang taek Member Joined May 5, 2014 Posts 76 Reaction score 123 May 14, 2026 #3 Hayo ni mataputapu yenye ladha ya mitishamba 🤗