simba

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wamlilia Rais Samia awezeshe mchakato wa mabadiliko

  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  4. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania MO achafukwa ahoji mchakato wa mabadiliko kwenye uwanja wa komenti ukurasa wa Simba

    Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko. Wadau wengi wa michezo...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

    AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA ALWAYS NXTYM NEVER GV UP
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya Klabu ya Simba?

    Ni zaidi ya miaka minne sasa, mambo ndani ya klabu ya Simba yanaonekana kuwaendea kombo. Timu ambayo ilijenga heshima Afrika Mashariki na kutisha kwenye mashindano ya CAF, kila siku inaonekana kuzidi kupoteana. Pamoja na changamoto za kiufundi na usajili, kuna jambo jingine linaloonekana wazi...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini familia ya Dewji imegandamana na timu ya Simba?

    Tatizo la Simba linaanzia kwenye familia ya Dewj; ni kama timu yao. Mangungu anachezewa mchezo mchafu na familia ya Dewj ili kulinda brand ya mo enterprises. Yaani kama timu inafanya vibaya uwanjani maana yake na brand yao inakwenda chini pia. Ili kukwepesha biashara zake sokoni anakodisha...
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Namshauri Mangungu wa Simba astaafu kwasababu anaweza kuendelea kuvunjiwa heshima

    Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu Wanaomvunjia...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

    Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni kwa mkapa hatoki mtu All the best Mnyama 🦁 #nguvu Moja💪
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Yanga anashinda. Kesho Rasmi Simba anajihakikishia kutosonga mbele. Uwanja tuliuharibu

    Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar. Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania Esperance De tunis Vs Simba SC l CCL l Hammadi Agrebi Stadium l 24-01-2026 l 🇹🇿 7pm

    #nguvumoja#
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mangungu Aapa kusajili Yeye Mwenyewe endapo Atashinda Uchaguzi wa Simba

    Hii ni kumaanisha kwamba, jamaa atagombea tena. Hongera sana genius Mangungu, tunakutegemea.
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM tu ndizo zitakazomuwezesha Mangungu na genge lake kushinda tena nafasi za uongozi Simba

    Kwa mujibu wa katiba ya Simba viongozi wote wa kuchaguliwa wanafika ukomo mwezi huu mwishoni. Hadi sasa wanasimba hatuoni dalili yoyote ya uchaguzi tukimaanisha hakuna kamati iliyotangazwa kwa mujibu wa katiba kuendesha zoezi hilo kuanzia hatua za awali ambazo ni kutangazwa tarehe ya uchaguzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Simba anapokutana na Kiboko kwenye mto (AJ vs Jake Paul)

    Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache. Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
Back
Top Bottom