Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,530
Sahihi mimi mwenyewe ni shabiki wa Simba lakini kwa sasa nimeachana kabisa na ishu za Simba mdogo mdogo. Mitimu ya Kariakoo ya kisenge sana.Tupambanie nchi kwanza achana na mambo ya Simba kwa wakati huu
Shekhe nimekwamishaje mapambano ya nchi?Tupambanie nchi kwanza achana na mambo ya Simba kwa wakati huu
Wazo la kupambania nchi inapaswa iwekwe wazi ili watu wajue ni matendo yapi yanayotakiwa kufanywa kama njia ya kuipambania nchi. Kuacha kushabikia Simba na Yanga sio ndio nchi inakombolewa, kuwa watu hawana hobby kabisa na mpira wa Simba na Yanga na wengine hawajui kabisa kuhusu mpira lakini hawana mitikasi ya uharakati.Sahihi mimi mwenyewe ni shabiki wa Simba lakini kwa sasa nimeachana kabisa na ishu za Simba mdogo mdogo. Mitimu ya Kariakoo ya kisenge sana.