simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Simba anapokutana na Kiboko kwenye mto (AJ vs Jake Paul)

    Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache. Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
  5. Chibike

    JamiiForums Tanzania Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii siyo tetesi tena Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani Karbu...
  7. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inonga aanza mazoez Simba

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutakia mafanikio mema kaka inonga LONDON BOY
  8. Trayvess Daniel

    JamiiForums Tanzania Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wote tunaenda kuimba wimbo mmoja

    Baada ya D9 kuanza kwa kusuasua kutokana na vigingi vizito toka kwa watawala , kumeibuka kebehii za wazi wazi toka kwa machawa wa mfumo kuelekea kwa Gen z.! Ila wasichokijua machawa fukara ambao wengi ni manyumbu katika sekta za umma. " nikwamba , athari za haya mambo hazitoangalia itikadi za...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Oya huu Utani wenu wa kutuita Simba SC Wagawa Utamu uishie humu humu Mitandaoni, ila Mtu akiniita live Mtoa Utamu hakyanani Nakata Nafunua na Ndoo Juu

    Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  12. nkuwi

    JamiiForums Tanzania Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania simba Sc 0 -Azam fc 0

    Matokeo yanasomeka kama hivi 👇
  14. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Friends of Simba ndio kiini cha matatizo Simba

    Wakuu, Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata lawama ikitokea ni rahisi kujua ziende wapi. Kwasasa hao Friends of Simba wamepasuka na...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Matola na Bodi ya wakurugenzi Simba kunanini? Ni upigaji tu, ushirikina au kumkomesha Mo

    Washabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini. Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola. Kwa wazawa Mgunda anaiweza Simba kuliko mbongo yoyote. Gharama za kawaida tu. Kongo alikuwepo...
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ovu dhidi ya Simba inayoendlea yakumtetea manager matatoo na Mangungu

    Hapo vip! Kuna jambo halipo sawa kwa wachambuzi na wale watu wanaokoments sana kwenye posts mbalimbali zinazo usiana na posts za Simba. Kutokana na matokeo mabaya ya Simba kwenye club bingwa ni wazi yakwamba kocha anachangia kwa asimia 70 matokeo yale kwasababu: 1.kocha anakurupuka tu anampanga...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba kila Kiongozi ana mchezaji wake na kila moja anataka mchezaji wake aanze na hapo ndio shida huanzia

    Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa) Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola. Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naiombea Simba leo ifungwe

    Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi lazima simba ifungwe leo
  20. H

    JamiiForums Tanzania Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

    Kama naona Mpanzu, anavyo futa makosa leo, ataimbwa sana Trust me
Back
Top Bottom