Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 278
- 279
Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo.
Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli.
Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao??
Turudi kwa kiwango cha chama.
Chama ni mkongwe na anajua sana siasa za mpira wa bongo anajua ili ionekane Bora ni lazma Kwny mechi za dabi uupige mwingi.
Kafanikiwa kwny Hilo na huyo kwny kiwango Bora kwenye mechi mbili tatu znazoendelea.
Ila kwa tunaomjua chama pale ni anajitutumua tu na kutumia uzoefu ila sio tena mchezaji wa ushindani..
Ila kwa akili ya viongozi wa Simba msimu ikiisha wanawaza wasifanye usajiri wa maana wakiaminisha mashabiki chama ni Bora.
Kumbukeni kwny klabu bingwa hankutani na timu km prison Wala KMC.
Mashabiki wa Simba mjiandae kisaikologia