simba

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kutumia “Yanga day” — je, ni kuiga Simba day?

    Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026. Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
  2. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27. Mwalimu alikuwa akiichezea...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania SIMBA VS YANGA: Nani ataodoka na ngao ya jamii?

    Tarehe 12 Agosti, macho ya mashabiki wa soka Tanzania yataelekezwa Amaan Stadium, Zanzibar, ambapo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Hii si mechi ya kawaida. Ni Derby ya Kariakoo, na kila upande unaingia uwanjani ukiwa na presha ya kutaka kuanza msimu kwa ushindi dhidi...
  4. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni kati ya tamasha la Simba na Yanga lipi limekuwa tamasha bora kwako?

    Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
  5. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  6. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa Sare...
  8. min -me

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club maskini timu yangu😭

    Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

    Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wajue Mapogos kundi la simba madume sita lililoishangaza dunia

    Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata watawala wakubwa hawaishi milele. Mwanzo wa Mapogo (2006) Mapogo walitokea katika eneo la Sabi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kikosi cha Simba kinavyoweza kupangwa akiwemo Ibraheem Jabaar

    Pamoja na kufanya maboresho kadhaa ya kikosi kwenye dirisha kubwa la usajili, Klabu ya Simba inatarajiwa kuonyesha sura ya kikosi chake kitakachopambana katika msimu wa 2026/27 wakati wa Tamasha la Simba Day, linalofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu hiyo. Chini ya kocha Steve...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Simba kununua uwanja Geita na kujenga ofisi

    Mashabiki wa Klabu ya Simba wa Tawi la UWASINYA lililopo katika Kata ya Nyarugusu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani humo, katika kuelekea Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), wamesherehekea Simba Day kwa kujenga Mnara mrefu. Zaidi ya Mashabiki 300 wamehudhuria sherehe hizo. Akizungumza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

    Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35. Azam FC ipo nafasi ya 39 ikiwa na alama 5, wakati Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini inaongoza orodha kwa...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimewekeza Simba zaidi ya 100bl.

    Tajiri na mdhamini wa Simba Mohamed Dewji amesema kuwa kwa kipindi kutoka 1998 hadi 2026 amewekeza zaidi ya 100bl klabuni hapo.
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba mkitaka kua bora tena epukeni kubadili magolikipa kila baada ya msimu mmoja au mda mfupi

    Hili nimeliwaza tu huu mda, waza hata na wewe!! Hivi ushawahi kuona wapi Team kubwa na inayotawala soka katika Nchi husika inabadili ma golikipa kila baada ya msimu mmoja? Niambie tu wapi huko? Simba kipindi yupo form ile misimu 4 alikua na golikipa namba 1 mmoja tu Aishi.. Leo hii simba...
  18. bullbar

    JamiiForums Tanzania Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mangungu na Magori waweka mambo sawa Simba, wasitisha Mvutano wa Baraza la Wadhamini

    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
Back
Top Bottom