FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,093
Reaction score
3,953
Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku Dodoma ikiwa na alama 33, na ya 8 kwenye msimamo.

Nani kuongeza alama? Ni moja au 3 acha tuone au Dodoma kutamba tena leo kama alivyofanya kwa Yanga?

Vikosi vya leo
Screenshot 2026-05-24 at 18-17-42 Instagram.png

Screenshot 2026-05-24 at 18-19-21 Instagram.png

62 'Gooooo, Mpanzu

Mpanzu alifanyiwa Faulo ndani ya 18, iliyopelekea Simba kupata Mkwaju wa Penati ambao ulipigwa na Chama na kisha kukosa, Mpira wa pili aliupata Mpanzu na kuuweka Kambani.


Simba 1- 0 Dodoma Jiji
 
Imagine speed za MPANZU angekuwa na mindset ya ku assist
 
Back
Top Bottom