Mnyama leo anaunguruma mkuu. Game ni saa ngapi mzee?Leoo kazi ipo wakamariaa kaeni mbalili na Simba. Waashakata tamaaaa
Leo msishangae wakifungwa ama Kudrow
Sema Amina yaradiii
sijui hata ni nini ila naona kabisa huko shule mlienda kusomea ujinga na upuuzi mtupu.Leoo kazi ipo wakamariaa kaeni mbalili na Simba. Waashakata tamaaaa
Leo msishangae wakifungwa ama Kudrow
Sema Amina yaradiii
sijui hata ni nini ila naona kabisa huko shule mlienda kusomea ujinga na upuuzi mtupu.
huo ndo mwandiko gani sasa?
😅😅😅 sijasema Yanga wote, ni baadhi ya wajinga kama mtoa madaSasa hii msiseme Yanga wote tupo hivi. Siyo wote. Tupo wachache wenye akili.
Betting haitaji ushabiki wala hisia.Leoo kazi ipo wakamariaa kaeni mbalili na Simba. Waashakata tamaaaa
Leo msishangae wakifungwa ama Kudrow
Sema Amina yaradiii
Alafu kama shabiki wa simba unafaidika na nini?Mimi ni shabiki wa simba, ila ninaombea tufungwe au kutoa sare.
Ili Mangungu atuachie timu yetu.Alafu kama shabiki wa simba unafaidika na nini?