Imekua ni kasumba kwa huyu mtangazaji anajiita Kitenge ambaye anafanya kazi Radio ya Wasafi, kuja na tuhuma mbalimbali kuhusu SIMBA na zaidi tunajua anatumiwa na watu wasioitakia mema SIMBA sababu wanaumia na MAFANIKIO ya SIMBA na wengine roho zinawauma kupita kiasi wakiona SIMBA anafanya...
Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita
Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda,
Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo?
Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
Hizo ni takwimu za game ya leo numbers dont lie. Kama hujui kusoma basi tazama hata picha.
Simba Sc ilikuwa bora sana, plan A ilikuwa kumiliki mpira na kukataa kufungwa. Plan B ni kupata point 3.
Simba Sc sio timu ya kienyeji inacheza kwa malengo makubwa. Simba Sc ndio timu tegemewa kwa Africa...
El Merreikh wametimua kocha wao mtunisia muda sio mrefu baada ya game na Simba Sc.
Hii kisaikolojia ni nzuri sana next game.
======
Simba yamfukuzisha kocha Al Merrick
Muda mfupi baada ya kutoka sare tasa na Simba leo nyumbani huko Sudan, Al Merrikh imemfukuza kocha wake Nasreddin Nabi na...
El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani.
Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh.
Kuwa...
Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo
Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..!
Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda...
Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19.
Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam.
Majibu...
Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu.
Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho...
Human Resource Manager
Simba Supply Chain Solutions Limited and Simba Logistics Limited are looking for an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 45 years. This position will be on a two-year fixed contract.
This opportunity is for candidates who...
Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye?
Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club...
Habari wadau..
Nimeona documentary ya enyimba success timu ya kwanza nigeria ku win caf champions league.. nimeiangalia kwa umakini nikajua ilikuwaje?
Kwa nilichokiona kwa enyimba kama nakiona kwa Mo na simba yake ya zama hizi.
Enyimba ilikuwa timu ya kawaida sana nigeria haijawai...
Michezo ya kombe la shirikisho inaendelea na sasa ni klabu ya soka ya African Lyon dhidi ya Simba SC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
======
00' Muamuzi anapiga filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo
09' Ibrahim Hajibu anaweka kamba ya kwanza kwa Simba, African Lyon 0-1 Simba
17'...
Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon.
Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Simba itakuwa ugenini na utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo.
Mpira wety unaelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.