Michezo miwili ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi imepigwa leo hii katika Dimba la Amani visiwani Zanzibar. Mchezo wa awali uliwakutanisha miamba wa michuano hiyo Azam FC dhidi ya Yanga.
Mchezo huo umemalizika kwa Yanga kufanikiwa kufuzu fainali baada ya dakika tisini za mchezo kumalizika...
Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia mwingine badaa ya kutumia uchawi wa paka mweusi na kuwekwa katika list ya teams zenye jezi...
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na...
Ama kwa hakika Maisha yanaenda kasi sana. Wachezaji waliokuwa magarasa kiasi cha kuwachukiza Wanasimba na kufikia hatua ya kutaka kutolewa kwa Mkopo Nyota zao zimeanza kung'aa masaa 72 tu baada ya mgomvi wao kuondoka.
Haitashangaza Miraji Athumani akiiibuka Mfungaji bora wa Mashindano ya...
Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ?
Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi tunazipata bila hata kusikia vikao vya uongozi wa vilabu husika , Baada ya Kishingo kuachia ngazi...
Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu.
Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu ambacho akipewa anagalizo anaweza kujirekebisha au wadau mnasemaje?
Wewe kama mdau wa mpira...
SIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN
DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021
#HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa kutoka katika Klabu hiyo imeeleza kuwa, nafasi ya Kocha huyo itakaimiwa na kocha msaidizi, Selemani...
Nampongeza Kocha wa Simba kwa kazi nzuri anayofanya hakika anastahili, Mitano tena.
Kwa falsafa yake yeye anachojali ni kuvuka stage moja na kuendelea na mashindano , hii itatufikisha mbali huenda mwaka huu tukatinga nusu fainali.
Nasema uongo ndugu zangu?
Tuleteeni utopolo mapinduzi cup
Simba SC have been placed in Pot 3 for Friday's Caf Champions League group stage draw to be conducted in Cairo. As a result, the Msimbazi-based charges have now been placed in Pot 3 alongside Petro de Luanda of Angola, the winner between Sudanese outfit Al Hilal and Asante Kotoko of Ghana and MC...
Bakari Mwamnyeto Kasajiliwa kwa Bei ya juu na Yanga SC na Gari bovu ( japo aliambiwa ni jipya) ila anaishia tu Kucheza VPL, Mechi za Kirafiki za Chamazi na ile Michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar na kama akicheza Michuano ya Kimataifa basi ni ile tu inayohusisha Timu ya Taifa (Taifa Stars)...
hii ni hatua kubwa sana kwa simba mwaka juzi tulikuwa pot 4 leo tuko na kina as vita pot 3,way to go champions
#CAFCL Group Stage Draw
POT1
Al Ahly SC
TP Mazembe
ES Tunis
Wydad Casablanca
POT2
Mamelodi Sundowns
Al Hilal
Horoya AC
Zamalek SC
POT3
Al-Merreikh
Simba SC
AS Vita Club...
Nasisitiza Maamuzi haya ya CAF siyo kwa Ushindi wa Namungo FC bali ni kwa Ushindi mnono wa Simba SC na Kufuzu Kwake Makundi CL iliyopo.
Taarifa: Mtandao rasmi wa CAF
Ni matumaini yangu sasa Timu zingine zote hasa ile yenye Washamba wengi nchini Tanzania itaitii na Kushukuru kubebwa sana tu na...
Mchezo wa michuano ya Klabu bingwa barani Afrika umepigwa hii leo katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba alikua nyumbani akiikaribisha FC Platinum ya Zimbabwe ikiwa ni mchezo wa pili kati ya michezo miwili ya hatua ya mtoano.
Mechi hiyo ambayo...
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.
Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez
Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini...
Wakuu,
Ujue watu wamejiuliza sana kwanini wachezaji wazuri walipokuwa team zao kila wakienda Simba wanazikwa?
Gadiel wakati yupo yanga alimpokonya mpka Tshabalala namba national team alikuwa first choice na afcon alicheza mechi zote mpka wakati kuwania kwenda huko.
Lakini toka aje simba...
Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.
Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.