Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo dhidi ya wageni hao kiasi kwamba kauli mbiu ikashindwa kuinua hamasa ya ushindi. Wapo wengi wanao amini...
“Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika Mashariki.”- Haji Manara
.
🖋️ “Mabingwa wa Afrika ambao wametoka kushiriki ubingwa wa dunia wamefanikiwa...
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head".
FORM
ALL
All Home Away
Feb 12, 2021
VIT 0 - 1 SIM
W
Feb 07, 2021
SIM 2 - 2 AZA
D
Feb 04, 2021
JIJ 1 - 2 SIM
W...
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head".
FORM
ALL
All Home Away
Feb 12, 2021
VIT 0 - 1 SIM
W
Feb 07, 2021
SIM 2 - 2 AZA
D
Feb 04, 2021
JIJ 1 - 2 SIM
W...
Hawa watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. TFF watoe onyo kwa Yanga na mashabiki wao,ipo siku watasababisha vurugu kubwa sana itakuwa too late. Wasiachwe hivi. Kwa upuuzi huu kuna siku watakuja kuzua vurugu kubwa.
Cheki tofauti kabisa na mashabiki wa Simba Sc,ni wastaarabu...
Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi.
Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia...
Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga...
Naaaaam Barabara kabisa,
Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute...
Kikosi cha Simba sports kimeondoka siku ya Jumannne kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club.
Mchezo huo ambao utapigwa siku ya tarehe 12 Ijumaa, Simba anaingia kwenye mchezo bila nyota wake wanne, wachezaji hao ni Erasto Nyoni, John Bocco, David...
Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa 5–0 lakini mambo mengi yamebadilika katika vikosi vya timu zote mbili. Vita Club waliuza wachezaji...
Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika.
Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja...
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?
Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.
Simba Super Cup: BINGWA (Simba)
Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)
Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)
Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)
Mchezaji bora mechi ya...
BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni...
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.