Tusizinguane na tusichoshane Yanga SC haina Wachezaji wenye Hadhi, Simba SC itakuwa Bingwa tu, DC Jerry Muro

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa.

Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa? Haya sasa mkatalieni na mtukaneni na Jerry Muro wenu ili tujue kama mna Hasira sana.
 
Gentamycin karibu kwenye uzi uje na all rounder.
 
Back
Top Bottom