Wana Yanga SC mlimpenda sana Rage alipokuwa akiinanga Simba SC, sasa na Leo kuweni pia Wavumilivu tu kwa hizi ' Sindano Dozi ' zake Kali Kwenu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
" Ni Tanzania tu TFF ndiyo imekuwa wapole ila kwa Kitendo alichofanya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela huku akijua tena Kikanuni tu the right channels za Kupeleka Malalamiko yake Hukumu aliyopewa ni halali yake kabisa *

" Kitendo cha Uongozi wa Yanga SC kujitokeza Kumtetea ikisema kuwa imemtuma tayari wameshauingia wenyewe Mtego wa Kukiri Kosa / Makosa yao ambayo wanashutumiwa nayo na yaliyomgharimu pia Makamu Mwenyekiti wao Mwakalebela "

* Anayesema Mwakalebela hakustahili Adhabu kwakuwa aliiwakilisha Klabu na hakuwa Yeye kama Yeye akapmwe Akili kwani kuna mwaka Klabu ya Etoile Du Sahel ya nchini Tunisia ilitoa Madai ya Shutuma kwa CAF kupitia Kiongozi wao na CAF ilipokeri na Kamati yake ya Nidhamu ilimfungia tu huyo Kiongozi na siyo Klabu na huwa iko hivyo Kisheria ila tatizo Watu wengi hawapendi Kuongeza Maarifa na Kuzisoma kwa Kina hizi Kanuni na wanachojua ni Kukimbia Kulalamika kuwa wanaonewa na Mashirikisho "

Chanzo: Wasafi FM Sports Arena Show

Nami Generalist namalizia tu kwa Kuwaombeni wana Yanga SC ambao kila ambapo Mzee Isnail Aden Rage (Nguli wa Sheria za Soka) alipokuwa akijitokeza Kuikosoa na Kuisema Simba SC mlikuwa mnamfurahia na Kumsifu leo Kawageukeni mtulie tu tuli ili Sindano zake hizi ziwaingieni vizuri labda Akili zenu zitawarudia.

Najua mlivyo Wanafiki leo mtamkataa!!!
 
Mimi naona angefungiwa Maisha kabisa.
Ni aibu kwa Club kama Yanga kuongozwa na mlevi mbwa. Huyu alitoa shutuma zake za kichochezi akiwa under alcohol influence,lakini manyani wanamtetea.
IMG-20210312-WA0007.jpg
 
Mbona kaongea kawaida sana! Utalinganisha na ile kauli yake ya kuwaita nyinyi mbumbumbu? 😇
 
Back
Top Bottom