simba

  1. M

    Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

    Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi. Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia...
  2. 2019

    Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

    Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo. Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo Msimbazi tuanze kujipanga...
  3. Joseverest

    Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

    Naaaaam Barabara kabisa, Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute...
  4. Shadida Salum

    Simba kukosa nyota wanne kwenye mchezo dhidi ya AS Vita

    Kikosi cha Simba sports kimeondoka siku ya Jumannne kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club. Mchezo huo ambao utapigwa siku ya tarehe 12 Ijumaa, Simba anaingia kwenye mchezo bila nyota wake wanne, wachezaji hao ni Erasto Nyoni, John Bocco, David...
  5. Twenty Twenty One

    Nini Simba ifanye kuvuka group stage ya CAF CL

    Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa 5–0 lakini mambo mengi yamebadilika katika vikosi vya timu zote mbili. Vita Club waliuza wachezaji...
  6. J

    Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

    Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika. Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja...
  7. Erythrocyte

    Sababu hasa za Simba kuingia Bungeni ni zipi ?

    Mwenye majibu anieleweshe
  8. Babumawe

    Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

    Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati? Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi. Simba Super Cup: BINGWA (Simba) Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba) Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba) Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba) Mchezaji bora mechi ya...
  9. M

    Simba vs TP Mazembe, ila nna hofu Leo jamaa wanaondoka na Konde Boy!

    Mlio uwanjani ,mtuletee updates! Ila ninahofu Hawa jamaa leo wanaondoka na Konde Boy ...Kama walivofanya kwa Samata
  10. GENTAMYCINE

    Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

    BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu" Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa. Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni...
  11. Kipenzi Changu

    CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  12. tyc

    Ombi kwa Azam Tv juu ya kurusha mechi za Simba Sc

    Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR, Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2 Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea...
  13. Kipenzi Changu

    CEO Simba Sc: Tulitaka kuwaalika Yanga Simba Supercup lakini wakakosa vigezo

    Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema walikuwa na wazo la kuishirikisha Yanga katika mashindano yao ya wiki moja ya ‘Simba Super Cup’. Mashindano hayo ya Simba yanayoshirikisha timu tatu pekee yanatarajiwa kuanza kesho kwa wenyeji kuwaalika TP Mazembe, kabla ya...
  14. M

    Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
  15. B

    Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

    25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona...
  16. Mwanamaji

    RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

    Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club. Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
  17. N

    Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

    Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani. Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan Didier Gomes da Rosa ameachana na klabu hiyo. Taarifa zinadai huenda akawa kocha wa mabingwa wa Tanzania Simba SC.
  18. I

    Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

    MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior wakitokea kwao nchini Kenya. Tanasha amepokelewa na gari ya Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  19. M

    Simba SC msiwazuge Mashabiki wala kuona Aibu. Mpelekeni Bernard Morisson kwa Wazee wa Yanga SC awaombe Msamaha afunguliwe

    Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi. Na...
  20. H

    Simba yaanzisha mashindano mapya

    Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo yatazishirikisha timu za TP Mazembe ya Congo na Al Hilal ya Sudan na yanatarajiwa kuanza tarehe 27 mpaka 31...
Back
Top Bottom