Simba 5-0 Mtibwa Sugar | VPL | Benjamin Mkapa stadium

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,808
Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani.
========


00' Mpira umeanza dimba la Mkapa

06'Mtibwa wanapata kona pacha lakini zote zinashindwa kuzaa goli

09' Chama anaiwekea Simba goli la kwanza baada ya kupiga mkwaju wa 'free kick' uliongia moja kwa moja golini

19' Bwalya anaifungia Simba goli la Pili

42' Medie Kagere MK47 anaipatia Simba goli la tatu kabla ya Mapumziko

KIPINDI CHA PILI

51' Medie Kagere anatia kamba goli la nne

69' Miquissone Chinga Boy anaweka kimiani goli la tano

FULL TIME: Simba SC 5 - 0 Mtibwa Sugar

20210414_184407.jpg
 
Back
Top Bottom