lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,137
- 33,201
Al Ahly walikua na hofu, waliona Ingekua Ni fedheha Sana kwao kufungwa Mara ya pili na Simba,
Ingekua Ni fedheha Sana kufungwa nyumbani mechi ya marudiano baada ya kufungwwechi ya Kwanza,
Inajiona Ni timu Bora kuliko Simba,kufungwa Mara mbili na Simba Ni fedheha Sana,
Simba ilikua inacheza kwa tahadhari zaidi kuliko Al Ahly ikizingatia mechi za robo fainali,
Al Ahly walicheza kufa na kupona kutunza heshima bila kujali mechi za robo finali.
Mazingira ya Misri Ni rafiki zaidi kwa Al Ahly kuliko Simba,
Waliutumia vema uwanja wa nyumbani,
Al Ahly Kama kawaida ya timu za kiarabu walitamani Sana kufunga Simba Kapu la magoli lakini Simba walikua imara zaidi nyuma.
SIMBA
Imekomaa,kwa Sasa Ni moja ya timu kubwa Afrika na hakuna Tena timu ya kuibababisha.
Simba Sasa haichagui timu ya kucheza nayo,wao waichagulie timu yoyote, Simba itacheza nayo tu.
Ilicheza vizuri Sana leo,kipindi Cha kwanza ilijilinda zaidi,
AA wakashambuli zaidi,
kipindi Cha pili Simba walishambulia zaidi,
AA wakajilinda zaidi,
Nimefarijika Sana,Simba hii sio timu ya kufungwa kizembe kwenye mashindano haya.