simba

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

    Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana...
  3. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Nililoliona kuelekea Simba Day

  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

    Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali baada ya Simba Day naomba 'Utamaduni' huu mzuri wa Marehemu Mzee Wetu 'Bamchawi' urejewe

    GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa..... 1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaoshanga na Kujiuliza kwanini tarehe 31 July imepita. na Simba SC bado Inasajili tu Jibu lenu hili hapa

    "CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea Kusajili hasi tarehe 30 Mwezi huu wa August, 2023" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally muda mfupi...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FCC yasema suala la Muungano wa Mwekezaji na Simba wameshalifunga

    Akifafanua hali ya sintofahamu inayoendelea kuhusu mchakato wa uwekezaji unaendelea kati ya Klabu ya Simba na mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), William Erio amesema kinachoangaliwa na watu wengi ni upande wa Mwekezaji na kusahau kuhusu kile kinachotakiwa...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga kucheza na As Vita Chamazi Complex, Agosti 6, 2023 siku ya Simba Day

    Yanga nao wamekuja na mechi dhidi ya As Vita siku ya Simba day jumapili hii. Wanasema ukimwaga ugali wao wanamwaga mboga
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mfano Uwanja wa Uhuru usipojaa Simba Day, tumeshaandaa cha Kuwajibu ambao Watatucheka na Kutucharura kwa Misifa yetu ya Kijinga?

    Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa. Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CEO Simba SC nampa pongezi kwa ubunifu

    Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma SMS yenye neno Simba kwenda na.909192 itakayokatwa Sh.1,000 tu. Hili na tukio la jana la mnada wa...
  12. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Robertinho ni kama ameingia kwenye mtego mkubwa sana Simba

    Ukijaribu kuangalia sajili za simba nadiriki kusema kwamba angalau wako vizuri japo nadhani walikua wanahitaji angalau wapate beki mmoja ambaye anaweza kumpa changamoto Inonga. Nasema hivyo kwasababu, viongozi wa simba wamesajili kwa maelekezo ya kocha. Ukiangalia kikosi chao asilimia kubwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

    Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi tuliyoitoa kabla ya kupelewa kilele cha Mlima Kilimanjaro Julai 21, 2023. Jezi ya Rais wa Zanzibar na...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Simba SC mchukueni Juma Kaseja ni mkongwe lakini akiwa golini kwenye mechi tafu anaweza, kuliko hao mnaobahatisha

    Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Kipa John Noble Barinyima ameshamalizana na Kitayose FC ya Tabora, nyie 'mnahaha' Kuwapora ili aje achezee Simba SC

    Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika. Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali mmetengeneza hili Tukio kwakuwa mmegundua katokea Ligi Daraja la Nne huko Brazil hivyo hana Vigezo vya...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  20. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

    Simba ni sikio la kufa. Nilimtumia Email Kajula. Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano. 1. Dejan. 2. Santos. 3. Wilker Da silver. 4. Fraga. Lakini wapi. Leo aibu imewapata. Baada ya kuachana na huyo Arison Beker wa mchongo wanarudia tena kosa kwenda...
Back
Top Bottom