Mapokeo ya jezi mpya ya Simba tayari ni makubwa sana kuzidi yale ya jezi ya Yanga

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,151
7,918
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.

Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu. Video ya Mayele akiwa na jezi mpya ya Yanga iliyopostiwa pia wiki mbili zilizopita July 5, mpaka sasa imepata likes 98,189 na comments 5,925 tu.

Kwa maana hiyo, post moja ya jezi za Simba tayari ina comments nyingi kuzidi video zote mbili za Yanga kwa pamoja na kuna uwezekano kabla ya 6 asubuhi ya kesho yaani masaa 6 yajayo, post ya jezi ya Simba itakuwa na likes nyingi kuliko video zote mbili za Yanga kwa pamoja.
 
🔥
188aa5dcfbce4777a3995f8132cb98cc.jpg
 
Yanga Yao ilikua surprised ndo mana aikuwa na muitikio simba watu wametunza mabando Toka wiki Jana wakisubiri hili tukio yote kwa yote sio issue like na comment sio kitu mauzo makubwa ndo kitu kizuri Cha kuja kisifu hapa unaweza ukapata hzo like na comment nyingi alafu people wasinunue jersey itakua aina mana
 
Good observation
 
Back
Top Bottom