Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes.
Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha...
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.
Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa
Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema
Leo mida ya asubuhi...
Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊
Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi.
Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi...
Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401.
Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu...
Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI".
Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio
Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka.
Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini?
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.
Pia kuna uwezekano hata...
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea...
Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo...
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?
Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.
Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa.
**************
Update
16:30
Simba imekamikisha...
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---
Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.
Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.