Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa.
Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90.
Chama hatocheza Simba milele ni lazima lifanyike jambo kurekebisha hili.
Habari wanajf
Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya...
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa...
Kwema Wakuu,
Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu.
Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA)...
Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde...
Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.
Email :integrity@fifa.org
Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
Kuna picha inajengwa na baadhi ya watu kuwa Simba ni wanyonge Wa Azam FC.
Jee Kwa misimu mitano iliyopita kwenye mashindano yote timu hizi zilipokutana, Azam wameifunga Simba mara ngapi??
Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje.
Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;-
Metacha/Mshery
Kibwana
Nickson Kibabage
Job
Gift fredy
Jonas Mkude
Mauya
Sureboy
Pacome
Aziz ki
Nkane
Hafiz konkoni
Mzize
Watakaojirudia...
===
Greatest of all time
Leo ni Sikukuu ya Soka.
Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga.
Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje?
Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!!
Shauri yenu na majungu yenu.
Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua.
Ndio maana ujio wake pale Simba umeua viwango vya wachezaji. Bocco ametoka kuwa goli zaidi ya 10 na kudorora, Sakho hakuwahi...
Wakati maelfu ya Watanzania kutoka kila pembe ya nchi wakiacha shughuli zao na kuelekea Lupaso kushuhudia ‘Wenye Nchi,’ Klabu ya Simba ikiukaribisha msimu mpya kwa tamasha lililofana, kikosi cha timu ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB jana kiling’ara kwenye tamasha la Simba Day baada ya...
Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!
Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai...
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja.
Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini.
Miaka...
"Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.