Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi.
Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana.
1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Poleni na heka heka za weekend.
Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023.
Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
Timu zote mbili zimecheza vizuri sana.
1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa
2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru
3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri.
3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh...
Leo katika tamasha lao imepnyeshwa tukio tundaman akimnyonga mtu the same msimu uliopita ishu ya jeneza. Mbaya zaidi Ahmed ndo kaharibu kabisa ashukuru Azam walizima tukio hilo lisionyeshwe. Naweka hapa ushahidi. Jamn coz ni muda watu kufurahi acheni mambo ya kudhalilisha watu
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa...
Tabora si haba kwa historia.
Mwaka 1975, Simba ilipigwa Na Yanga fainali ya Mapinduzi. Sasa Pale choma chankola, Igunga. Babu yake na Aden Rage, Mzee Dahel, alirecord matangazo ya ule mpira. Kisha Mzee akachukua bus mbili na kujaza mashabiki wa Yanga na kuanza kuzunguka mjini na spika zao...
Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa...
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....
Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi.
Hapa nazungumzia Simba na Yanga.
Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo,
-Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel Tanzania.
🛑 Mshindi wa kwanza atapata nafasi ya kutembelea Dubai.
🛑 Mshindi wa pili atapata nafasi...
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa...
Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa...
Friends and our Weak Enemies,
Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu.
Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.
Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.
Mtakuja kuniambia.
Pia soma:
Rais Samia mgeni rasmi...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.