Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri...
Ujio wa Kocha Benchikha katika Simba kipindi hiki unadhihirisha kuwa Simba ina jeuri ya pesa ya kumleta kocha au mchezaji yoyote inayemtaka kutoka ardhi hii ya Africa. Kama tumeweza kumleta kocha mwenye profile kubwa hivi aliyetoka kushinda mataji mawili kati ya matatu makubwa Africa kwa level...
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!
Viongozi hawa...
Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu makipa na kuwachosha. Toka aje simba makipa wanachoka siku baada ya siku.
Alipokuwa Azam bwana...
Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu hawatuelewi.
Kila mchezaji wa Simba ana manager wake anayejua kila issue ya mteja wake. Mimi nadhani klabu...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote.
Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote.
Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa na...
Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy.
Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Mpira unachezwa kichwani kwa mchezaji. Matokeo mabaya uwanjani yanaanzia kichwani na yanarudi na kuishi kichwani kwa mchezaji. Wachezaji hawana kazi nyingine, kazi Yao ni mpira TU na Wana malengo ya kufika mbali kwenye mpira, hivyo hawahitaji vitisho, ahadi nyingi, kejeli, lawama wala kusifiwa...
Miaka ya 2000 Mwanzoni, Mpira wa Uingereza—ligi fuatiliwa zaidi duniani—ulikuwa umetawaliwa na Klabu Mbili tu; ARSENAL na MANCHESTER UNITED.
Liverpool alikuwa msindikizaji, Manchester City alikuwa bado 'chandimu'. Chelsea walikuwa na timu nzuri sana—Frank Lampard, John Terry, Joe Cole, Petr...
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na Manula ataua timu kwa staili hiyo hiyo.
Tukaweka kampeni aiache timu viongozi wakamwamini...
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii?
Dakika ya 44 gooooal Saidoo...
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeria aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na...
Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo.
Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa...
Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.