simba

  1. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ismael sawadogo kuishitaki Simba SC FIFA

    Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake. Klabu ya Simba iliuvunja mkataba wa kiungo huyo na bado anadai stahiki zake za kimkataba.
  2. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu. Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Slogans za Simba SC na Yanga SC. Simba "Kwa Mkapa Hatoki Mtu", Yanga " Ugenini Tunaua Mwenyejì"

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu. Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya Viongozi wa Simba SC ingekuwa imara ingeshalijua hili mapema na kuliwahi

    ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie kwenda uwanjani na kiukweli kwa 60% wamefanikiwa na Kesho kwa mkapa wala hakutojaa kivile viongozi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

    Hakuna kununua Tiketi wala kwenda Uwanjani kesho na huko kwa Mkapa watajaza Familia za akina Try Again, Mangungu, Mo Dewji na Wachezaji Wanafiki Watatu wanaoneza migomo ya kichinichini na Timu kufanya vibaya akina Chama, Ntibanzokinza na Inonga. Mashabiki wa Simba SC heko mno.
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

    Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nausuburia kwa hamu uzi mpya wa simba utoke ila kwa haya ma mo mo moooo yaliyojaa kwenye jezi mtavaa wenyewe

    Siwezi kuvaaa hii jezy aisee
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

    FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA. Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna brand nyingine? Jezi moja ina matangazo mawili ya kufanana? Tajiri anatoa mzigo yes lakini hii ya...
  9. Objective football

    JamiiForums Tanzania Simba hawezi pata matokeo mbele ya Asec Mimosa wiki hii

    Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu. Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS Nawauliza viongozi wa...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  14. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  15. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Hii inaendea kutokea, Simba inaendea kucheza na Asec majukwaa yakibaki empty

    Wakuu Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu Ukipita comments kwenye page zote za Simba...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

    Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji. Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  19. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  20. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
Back
Top Bottom