simba

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Jinsi ushabiki wa mikeka ulivyoua ushabiki wa mpira

    Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van Nistelrooy alikosa penati dakika za majeruhi. Siku hiyo kulikuwa na mshawasha mkubwa sana miongoni mwa...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

    Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga. Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

    Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023! Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens mabingwa wa Ngao ya Jamii

    SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida. Baada ya mchezo huo wa...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ufundi, Benchikha inabidi awafundishe wachezaji ujanja wa kimpira

    Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake. Simba imesogea pakubwa sana katika mpira wa Afrika. Leo hii hakuna anayeshangaa tena Simba akimfunga...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga chezeni mechi ya kuchangia Hanang

    Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanasoka mbona Kuna kimya kuhusu Onana wa Simba!

    Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani! Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa...
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

    Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa. Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  12. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Whydad amecheza mechi ya kiufundi licha ya ubovu wake na Simba kacheza mechi ya kukamia bila mipango ya kupata goli

    Simba hii kwa sasa naona wamebaki kukamia mechi dhidi ya waarabu na sio kuzicheza mechi hizi kiufundi, kilichoonekana Jana kinathibitisha ilo! Kadri muda ulivyokuwa unaenda nilikuwa sioni Simba itapataje goli na kwa njia ipi, wakati wenzao waliokuwa wanayo presha kubwa ya kupata matokeo...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

    Habari za Jumapili wanajukwaa. Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua. Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa Simba iachane na kucheza gemu za jihadi na kucheza professional game

    Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kuwa mkiani, wao sasa hivi wako wapi?

    Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad. Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

    Kikosi cha Simba Queens Kikosi cha Yanga Princess Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

    Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0. Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tujipange na droo nyingine kutoka Simba!

    Hakuna kukatatamaaaa hata Al Ahly kadroo jana. Naomba msiumie moyo na megi ya leo ft draw. Tena usishangae hata goli moja hakuna kama jana. All the best Simba SC.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Simba leo wakifungwa watakuja na lipi?

    Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo. 1. Kocha ana muda mfupi 2. Hata nyie Yanga mna point 2. 3 .Kipa ni tatizo. Ongeza nyingine.
Back
Top Bottom