simba

  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba msivunje kioo, naweni uso vizuri

    Nimemsikia mtu mmoja akitoa hoja ya kushitaki mahakamani mabango yaliyowekwa na Yanga barabarani. Ukweli ni kwamba aliyeyaweka haya mabango inaitakia mema Simba kuliko huyu anaetaka mabango yapelekwe mahakamani; haitakii mema Simba, Mabango ya Yanga yalipaswa kuisaidia Simba kutafuta wapi...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

    Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus Na mashabiki...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Daniel Cadena kwa alivyoshusha ubora wa makipa. Na figisu zake akibaki Simba hakuna kocha atakaetoboa pale naapa!!!...

    Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa. Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika. Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na...
  7. endagulda

    JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

    Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako kwenye hili ____? Chanzo Clouds Media https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

    𝗩𝗜𝗣𝗜𝗚𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo: FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938) FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968) ⚽⚽ Maulid Dilunga 18' Pen, 43' ⚽⚽ Salehe Zimbwe 54', 89' ⚽ Kitwana Manara 86' 𝗠p𝗶𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗽𝗮𝗻𝗶: Tarehe 3 Machi 1969: Simba SC...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Wydad ni mamelod iliyochangamka SIMBA mjipange

    Naandika kabla ya mechi ya fainali, Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam, Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari, washambuliaji hatari mpaka kipa ni wa viwango vya SGR. Wanaweza kucheza mpira wa chini na wajuu, tena...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

    Kumezuka mtindo wa baadhi ya Mashabiki kujiona kwamba wao ndio Mashabiki wenye haki au bora au kindakindaki sana kuliko Mashabiki wengine. Kila jambo wao wanataka kuliongelea hata kama hawana chochote wanachofahamu kuhusina nalo. Ni ushabiki gani huu wa kushindwa kukubali timu kupoteza au...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kamati ya simba mliyoteua bado inaendelea na kazi au?

    Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale mnapopitia mshinde wenzenu wanapigilia misumari ....... msiiache hii kamamati kama mna mpango wa...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Robertinho: Usajili wa Simba ulikuwa mbovu

    " Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta." Robertinho via @MwanaspotiTZ
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Asec ni Muhimu mno kwa simba na ni Nyumbani. Hakuna kocha mwingine kuipeleka timu zaidi ya Mgunda

    Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo. Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji. Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba...
  17. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Simba wamalize tofauti zao, migogoro haitawasaidia

    Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach. -Hakuna...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mashabiki wa Simba amkeni Mapema ZAMALEK Alianza hivihivi Ila leo kila Mtu anajipigia tu

    Habari wanajukwaa! Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu. Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kelele nyingi, Simba haikuwa inacheza mpira aliokuwa anataka Robertinho

    Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo na mifumo hiyo ni sahihi au siyo wakati haijawahi kufuatwa kikamilifu. Simba ya kipindi cha Juma...
  20. Life2

    JamiiForums Tanzania Sio ajabu Simba wakamrudisha Erasto Nyoni.

    Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big thinker wao wamekomalia Ushirikina, mashabiki wao wanataka viongozi wasepe, wazee wa simba wanataka...
Back
Top Bottom