Hii inaendea kutokea, Simba inaendea kucheza na Asec majukwaa yakibaki empty

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu

Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu

Ukipita comments kwenye page zote za Simba zinaonesha mashabiki wamechoka kabisa hivyo hii inaashiria kwamba Simba inaendea kucheza mechi hii bila ya mashabiki wake Bora wa mashindano ya African League
 
We ni Yanga tunakujua
 
Mashabiki wa Simba ndio wanawapa kiburi viongozi wa Simba . Kina Mangungu na Try again hawana uwezo wa kuongoza Simba ngoja mashabiki wasuse.
Simba day waliwaibia mashabiki viingilio Sasa hivi wanawahitaji.
 
Mashabiki hawatoenda ila Simba itashinda kirahisi kabsa kwahiyo bora waende tu sio wasubiri timu ishinde ndo waanze kujipendekeza kua karibu na timu. Kwenye kundi la Simba sioni timu ya kumchallenge Simba, anaenda robo final saa 4 asubuhi
Hizi ndizo akili za hovyo kabisa kwani inaonesha unaongozwa na hisia na hisia zako zinakudanganya.
Rudi kwenye akili zako ili uyaone mambo kwa uhalisia wake.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki hawatoenda ila Simba itashinda kirahisi kabsa kwahiyo bora waende tu sio wasubiri timu ishinde ndo waanze kujipendekeza kua karibu na timu. Kwenye kundi la Simba sioni timu ya kumchallenge Simba, anaenda robo final saa 4 asubuhi
Simba hii hii au unaisemea nyingine?
 
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu

Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu

Ukipita comments kwenye page zote za Simba zinaonesha mashabiki wamechoka kabisa hivyo hii inaashiria kwamba Simba inaendea kucheza mechi hii bila ya mashabiki wake Bora wa mashindano ya African League
Wewe ni mshabiki wa timu gani?
 
Mbn naona kampeni zinaendelea za mashabiki wa simba ?
 
Anaeisusia Simba isiposhinda hata ikishinda akae pembeni aachane kabisa na mpira

Ulaya timu inadundwa ila weekend mashabiki wamejaa uwanjani kusapoti timu yao, huo ndio ushabiki, sio ushabiki matokeo
 
Back
Top Bottom