simba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech. Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni Mudathir, Sure Boy, Kibwana, Moloko na Farid Musa, Kocha wa Yanga hawataki

    Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Uzushi na uongo wa Haji Manara kumhusu Fabrice Ngoma

    Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia. Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

    Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...
  7. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba hamjatosheka kuua vipaji vya wachezaji vijana mmemgeukia na kwa Ladack Chasambi wa Mtibwa??

    Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika! Angalia David kameta(duchu) kabla hajaenda Simba alikiwasha sana wakamsajili akasugua benchi mpaka...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba

    Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane. Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Hatimae Simba SC yaondolewa adhabu ya Kusajili na FIFA

  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wana Simba hembu njoeni hapa tulijadili kundi letu.

    Kwa namna kundi letu lilivyo inahitajika nguvu ya ziada aiseeh, kutoboa hapa. Kundi letu ni kama ifuatavyo: Asec 4 pts Galax 4 pts Simba 2 pts Wydad 0 pts Imebakia jumla ya michezo minne ili kundi hili litamatike. Tukiangalia kwa jicho la kifutboli tunaona kabisa hao jamaa wawili hapo juu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

    Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimikmkumbua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  15. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  16. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    Match Day 🏆CAF Champion League ⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba 🏟️ Francistown Stadium 🗓️ 02.12.2023 ⏰ 1600hours (EAT) Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza. Kikosi cha Simba Kinachoanza All the Best Mnyama. Updates... Sasa ni Saa Tisa na Dakika 25 Alasiri. Hali ya hewa ya Dar es Salaam ni ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

    Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa magoli mechi ya Simba vs ASEC na ya leo ya Tanzania vs Togo

    Wiki chache zilizopita nilileta uzi mmoja nikihoji kwa nini matukio katika mechi za Simba msimu iliyopita na msimu huu yamekuwa yanafanana sana na yale ya Yanga pale timu hizo zinapocheza siku moja au siku mbili zinazofuatana. Leo tena katika mechi ya Tanzania vs Togo nimeshuhudia magoli mawili...
Back
Top Bottom