siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

    Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha ashindwa kuongea, pia, alikuwa akichoma Sindano inayogharimu Tsh. Milioni 5 ambapo alitakiwa kuchoma...
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko muendelezo Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vichaa wa siku hizi wamekuwa legelege sana, wapole na wavivu

    Naomba niandike kitu kama pumba flani lakini inafikirish kidogo. Nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo kule kijijini kwetu msinga-kibosho marehemu bibi yangu (ndo nilikuwa nikiishi nae, wazazi wangu na wadogo zangu wao waliishi Dar) alikuwa akiniasa wakati akinituma, "usipite mtaa ule kuna kichaa...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi washindwa kupita kwenye Mto Kinyerezi kwa siku tatu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita. Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Israel yataja wanajeshi 11 zaidi waliouawa siku ya Jumanne

    Wanakumbi. Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas. Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20. Jeshi la Ulinzi la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa siku unaweza kunanihino mara ngapi ?

    Nauliza tu nisije nikafa ? Na upande upi una stamina kwa maana sisi wanume au upande wa wanauke ?
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TWAWEZA: Siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' wanaiba Taarifa Binafsi na kuzitumia vibaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TWAWEZA, Aidan Eyakuze amewasii wadau kulinda taarifa binafsi za wateja wao huku pia akiwataka Wananchi kuwa makini wanapotoa taarifa zao ambapo amedai kuwa siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' ambao uchukua taarifa za watu na kuzitumia kwa madhumuni yao bila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

    Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kila siku kuna mtu anauawa au anajiua Njombe; nini mkakati wa Tanzania kudhibiti hali hiyo?

    Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka. Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi? Naamini...
  11. JamiiForums Tanzania Rungwe: DC Haniu atoa neno Maadhimisho ya Siku ya Lishe, asema lishe imesaidia kiwango cha ufaulu kwa Wanafunzi kupanda

    Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya yamefanyika leo Oktoba 30, 2023 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katumba II , Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu. Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani kufanya ziara Nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi Lengo la kuunganisha matukio hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Shangwe zilizopigwa Israel ilipovamiwa siku ya kwanza zipo wapi, Mbona nguvu kubwa inatumika kumpigia magoti Isreal aache kujilinda (cease fire) ?

    Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ? Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu...
  15. JamiiForums Tanzania Siku zinakuja

    Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri. Iangalie hii ktk engo zote.
  16. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Siku hizi wazazi wanawaogopa Watoto

    Akizungumza na Wanahabari, leo Ijumaa Oktoba 27, 2023, Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) amesema viongozi bora wanatakiwa kutengenezwa kuanzia ngazi ya chini. Amesema “Hatuwezi kuwa na viongozi bora bila kutengenezwa, viongozi bora wanatoka kwenye familia, wanatoka...
  17. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kujua siku zangu?

    Kwema, Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Simu za Mkononi za Kawaida na Smart Phone zaidi ya Milioni 70.6 zinazotumika kila siku

    Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara ya siku 3 nchini Zambia

    PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akiagwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kenneth Kaunda Nchini Zambia na Rais wa Nchi hiyo Mhe, Hakainde Hichilema mara baada ya kuhitimisha Ziara ya Siku tatu ya kimataifa Nchini humo.
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

    Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea. Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele. Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…