Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Ripoti mpya ya kila ya mwaka ya Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari IFJ, lenye makao yake nchini Uholanzi, inasema waandishi wa habari 42 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameuwawa wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mwaka huu pekee.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa jana...
Human Rights Day is observed every year on 10 December — the day the United Nations General Assembly adopted, in 1948, the Universal Declaration of Human Rights (UDHR). The UDHR is a milestone document that proclaims the inalienable rights which everyone is entitled to as a human being -...
Former Italian footballer Paolo Rossi, who led the national team to victory in the 1982 World Cup, has died aged 64, his family says.
His wife Federica Cappelletti posted on Instagram a picture of them together with the words "Per sempre" ("forever" in Italian).
She did not disclose the cause...
Hakika tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki kifupi viongozi wetu wakitenda hili na lile kwa faida ya nchi yetu, lakini pia wakitenda hili na lile kwa fedheha ya nchi yetu.
Ni kipindi ambacho baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa na nguvu kushinda katiba ya nchi wanayo apa kwayo kuilinda...
Mifano ni mingi sana kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wangapi walivuma na kujiona ndio wao tu, mbona wameondoka tena wengine kwa aibu. Mimi sio mtu wa siasa wala sina kadi ya chama chochote ni mpenda mpira na kuangalia mechi katika medani ya siasa.
Nipo huru kifikra kwa hio naweza...
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??
ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30...
Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi .
Mpaka...
Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa.
Naangalia kongamano la Uhuru tbc kila anaesimama ni magufuli magufuli Magufuli Yani yamejaa unafiki na kujikombakomba...
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda.
=====
Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe.
Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
Habari.Mimi naitwa David Benjamin.
NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies.
Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
Mambo yanakwenda kasi sana!
Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi!
Sielewi wamepatwa na nini!
Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa nikikutana naye asipokuwa na kanga, basi Mimi nilikuwa najifutia chupi yake!
Sasa siku hizi hali imekuwa...
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) linaitumia siku ya Desemba 3 kama siku ya kimataifa ya Watu wenye Ulemavu
Siku hii iliazimiwa mwaka 1992 ikiwa ni siku ya kuangalia namna ya kuwawezesha walemavu na kuwashirikisha kwenye mambo ya kijamii
UNESCO...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi...
Yani siku hizi umeme hautabiliki huku Bunju, ikipita siku haujakatika basi ni ajabu. Wataka asubuhi warudishe saa 8 au 11, au watakata saa tano warudishe saa 10. Hii Tanzania ya Viwanda itapatikana kwa umeme wa namna hii?
Miezi kadhaa nyuma mlikuwa mkikata umeme mkiulizwa mnasema eti...
Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar.
Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM.
Shukrani
1. Mtu ni Mwanasheria kabisa lakini Kuzungumza mbele ya Press huwezi na unabaki Kuhangaika hangaika tu.
2. Hueleweki hata unataka kusema nini mbele ya Press na unabaki Kuzunguka zunguka tu.
3. Ujengaji wako wa Hoja ni wa Kitoto ambao hata tu katika Midahalo ya Shule za Upili (Secondary) huwezi...
Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.