Habari wadau,
Kwa mtazamo wangu, siku 21 za maombolezo ya kitaifa wanapofariki viongozi(maraisi) ni nyingi mno hivyo napendekeza zipunguzwe kufikia siku 14 au hata chini ya hapo.
Wanadamu, kwa asili, tumeumbwa kusahau na hii si kwa bahati mbaya, bali ni ili kumuwezesha mwanadamu aendelee na...