siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Neter

    JamiiForums Tanzania Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

    Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya 11 leo kipimo kinaonesha ana ujauzito

    Habari jf? Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala. Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga. Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine. Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda...
  4. To yeye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika. Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya vijana duniani

    Mawazo ya kuwepo kwa siku ya kimataifa ya vijana yalitolewa mnamo mwaka 1991 na vijana waliokusanyika mjini Vienna nchini Austria kwa ajili ya kipindi cha kwanza cha jukwaa la dunia la vijana la mfumo wa umoja wa mataifa. Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa ulisherehekea mwaka wa kimataifa wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Stergomena awasili Msumbiji katika ziara ya siku 4

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Karia kutohudhuria siku ya Mwananchi

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya Simba Day. "Nawapongeza Yanga kumualika kocha mkubwa Afrika, Pitso Mosimane pia nimesikia Simba nao...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

  11. N

    JamiiForums Tanzania Hali Tete: Wana struggle kuuza tiketi za siku yao

    Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Waziri wa Mambo ya Ndani akanusha Madai ya Ruto ya kuzima umeme na internet siku ya Uchaguzi

    Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
  13. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Bia duniani

    Wakuu leo August 5 ni siku ya Bia duniani. Siku hii husherekewa kila mwaka siku kama ya leo Sisi tunaopenda kujiburudisha na kinywaji hiki adhimu ambacho kusema kweli hata Wamisri wa kale enzi za Mapharao waliamini bia ni zawadi toka kwa mungu tusiache kupita zile sehemu zetu za kujiburudisha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyofanya Rais Samia ndani ya siku 503 za uongozi wake

    1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k 2. Rais Samia amewezesha Kuondolewa kwa kodi katika malighafi zinazotumika kutengeneza mitungi ya...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Reuters wapanga mgomo Siku ya leo kupinga ongezeko dogo la mshahara

    Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Marais wa Siku hizi wa Afrika Kujisifia kuwa Saa 8 za Usiku nao hukesha kama Popo ni vyema au ni Uthibitisho wa Kufeli Kwao Kiuongozi?

    Madaktari Bingwa wengi wa Akili wanasisitiza na Kutusisitiza mno Wanadamu ( Watu ) kuwa pamoja na kwamba tupo busy na Maisha ila Usiku kuanzia Saa 4 hadi Saa 11 ni lazima tuwe tumelala vya Kutosha Kwa Afya ya Miili yetu na Akili pia. Wataalam hao wakaenda mbele pia na kusema kuwa Mwanadamu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kareem Mandonga kusherehesha siku ya mwananchi,CAF final pre party

    Shangwe kubwa linamsubiri nabii huyu wa logo ya utopolo fc, wakati kelele zinapigwa kwamba nembo ibadilishwe mcheza netball, mwenge na bondia watolewe kelele hizo zilipuuzwa kumbe Mungu alikuwa na lengo aiseeee Utabiri umetimia, yule bondia wa kwenye logo kapatikana na tarehe 6 atakuwepo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
  20. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuvuta bangi

    Niliona milima na mabonde wewe je?
Back
Top Bottom