Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi,

Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi kuji controll kujizuia kutoa mbegu kisa tamaa za mwili basi jijue wewe ni mwanaume dhaifu ambae huna full controll ya mwili wako. shahawa zinapotoka kuna chembechembe za virutubisho, roho, dna, na vingine hutoka, haba na haba hujaza kibaba hizi shahawa unavyozidi kuzitoa ndivyo utavyozidi kuwa dhaifu.

wanaume waliofanya hii ili kupata controll nzima ya miili, roho na akili zao kwa kuzuia mbegu zisitoke ovyo ovyo ni kama kina Elon Musk, Nicola Tesla, Steve Jobs, Muhamad Ali, Yesu / Issa wapo kundi hili, .

Mwanaume anaeishikilia mbegu bila kuitoa kuna vitu vya ziada huwa anavipata kama;

  • Kuuondoa ukungu kwenye ubongo na kumfanya aweze kutunza kumbukumbu mda mrefu kama ilivyokuwa utotoni.
  • Kuongeza umakini.
  • Kuongeza nguvu za kiume
  • kuchelewa kufika kileleni.
  • kuongeza rotuba na afya kwenye shahawa
  • kufyatua shahawa kwa nguvu zaidi
  • Kuongezeka kujiamini.
  • Kuifanya akili iwaze zaidi kufanikisha malengo ya maisha.
  • kuongeza nguvu ya kiroho, n.k.

Kwenye hii kitu ni kwamba zile siku 12 za mwanzo ni sawa na jehanamu, Hizi ni siku ambazo ile sumu ya uraibu ndipo inapotoka mwilini, Sumu hii huambatana na nyege mshindo pengine ambazo hujawahi kuzipata maishani mwako, ni vita yako wewe na sumu hio, sumu haikubali kutoka kirahisi rahisi lazima ikuumize ili utamani kumwaga shahawa nayo iendelee kubaki, ukiweza kuzimaliza hizi siku hesabia upo huru umeuchukua upya mwili wako na unaweza kuufanyia maamuzi bila tamaa za mwili kukubabaisha.

Binafsi leo ni siku ya 8, nimejikuta mtu ambae jogoo anawika hata nikiwa nafanya kazi. Ninafanya mazoezi na kchangamana na watu lakini kuna muda lazima mawazo ya ku do lazima yaje tu.

Asubuhi nikiamka mnara umekakamaa kama vile nipo form 2 wakati balehe imeshika kasi, juzi niliota ndoto nyevu (wet dream) na asubuhi nakuta boxer imechafuka, japo hii haikuhesabika kutoa shahawa kwa maksudi.

Joto linaloniwakia siyo la nchi hii aisee, kuna huyu binti sura ya baba lakini ana shepu huwa anauza duka flani ananielewa ila sijawai kumwelewa. Jana nilienda dukani kwake wateja hakuna, shape yake ilinichanganya, nimefika pale kaanza kunichekea kama kawaida nikajikuta jogoo kapanda mtungi.

Niliingia sehemu anapouzia na alikuwa kasimama, nilienda nyuma yake nikampa kumbatio la nyuma nikampampu vitatu vya nguvu vya nguo. Kiukweli akili ilikuwa imeniruka nilkuwa kama gegedu, mteja alikuwa anakaribia kuingia nikaenda kukaa kwenye kiti maana suruali ilikuwa imejaa. Nilipotulia nikaondoka hata sikutaka kuaga, sijapita hapo tena na hana namba yangu.

Natamani hata ninunue mpira niende bar kumchukua baa medi nipunguze kiwanda. Kuna siku zilinipanda hadi nikawa nataka kufufua viporo na ma ex. Yaani huko bafuni nikienda kuoga ni mwendo wa maji yabaridi tu, najua maji yamoto ntamaliza kazi!
 
Wanasema 12 za mwanzo ndio zinaamua safari yako kuendelea ama kuisha, hizi siku 12 utapata nyege ambazo hujawahi kuzipata maishani mwako, ukivuka hizi siku 12 unaweza kwenda hata miezi, Na kiukweli hili nimehakikisha maana si kwa nyege hizi zinazonishambulia, rungu ni kama linanifokea.
Nitaleta mrejesho mkuu.
 
Hivi hiii challenge yenu... Ni Kwa wapiga punyeto tu??

Mabachela ambao hawajaoa na hawana Wapenzi??

Wenye Wapenzi lkn ndo Ivo mnajizuia kuwala ??.

Au wenye Wapenzi na mnaamua kuwaacha wapenzi zenu kisa No Fap?

Yaaan daahhh kama mnawapenzi wenu na hamuwali kisa No Gap challenge, kwakweli nawauhurumia sana.

Mkigongewa nanyie mnalia ??? Au..

Embu waleni Wanawake zenu , Wanawake wanapenda Mashinee .

Hii challenge nadhan Inawafaa Wapiga punyeto, Mabechela Domo zege n.k

Kwa mtu unayekula vizuri tu, huna mawazo, uko na Maisha yako, Kweli usitafute hata Bidada Mmoja uwe unajitafunia??.

Ngono Salama inafaida zifuatazo

👉kupunguza stress ( mtu ukiwa na mawazo homoni Cortisol inakua juu hali inayopelekea mtu kua kwenye stress kupindukia, Unayofanya Sex, homoni ya Endorphins inazalisha sana na hii homoni inasaidia kupunguza Kiwango Cha cortisol na hatimaye stress zinashushwa.

👉Sex inapunguza Maumivu kupitia homoni ya Endorphins

👉kupunguza uzito, aiseee Kama yalivyo mazoezi mengine, Ngono hisaidia kupunguza calories kadhaaa mwilin nahivo kumpelekea mtu kupunguza uzito hasa Hawa wanene

👉Ngono salama, inaimarisha Kinga
👉Kusaidia kuweka sawa msukumo wa Damu .
👉kupunguza hatari ya Magonjwa ya Moyo
👉Kupunguza hatari ya tezi dume
👉Inasaidia kuleta usingizi mnonooo

N.k

Daaahhh Kama Unapenda Sex, Gonna like mwanawani !! Kujibanabana yannn!!

No Fap ni challenge ya kishetani, lengo lake watu tusizae, tusiwe na familia, tuwe na Hasira Hasira wagonvi , tusiwe na hamu na Wanawake zetu ambao ndio Zawadi zetu hizi, Ufanisi Wetu wakazi upungue, n.k
 
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kupizi kwa maksudi kwa ngono ama kujichua. Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona unashindwa kujizuia kutoa mbegu basi wewe ni mwanaume dhaifu ambae huna full controll ya mwili wako.

Wanaume wengi waliofanikiwa wakiwemo kina Elon Musk wanafanya hii, Yesu/Issa naye alipitia njia hii. Mwanaume anaeishikilia mbegu bila kuitoa kuna vitu vya ziada huwa anavipata kama;

  • Kuuondoa ukungu kwenye na kumfanya mtu aweze kutunza kumbukumbu mda mrefu.
  • Kuongeza umakini.
  • Kufufua misuli ya uume iliyochoshwa kwa ngono mara kwa mara.
  • Kuongezeka kujiamini.
  • Kuifanya akili iwaze zaidi kufanikisha malengo ya maisha.
  • kuongeza nguvu ya kiroho, n.k.

Binafsi leo ni siku ya 8, nimejikuta mtu ambae jogoo anawika hata nikiwa nafanya kazi. Ninafanya mazoezi na kchangamana na watu lakini kuna muda lazima mawazo ya ku do lazima yaje tu.

Asubuhi nikiamka mnara umekakamaa kama vile nipo form 2 wakati balehe imeshika kasi, juzi niliota ndoto nyevu (wet dream) na asubuhi nakuta boxer imechafuka, japo hii haikuhesabika kutoa shahawa kwa maksudi.

Joto linaloniwakia siyo la nchi hii aisee, kuna huyu binti sura ya baba lakini ana shepu huwa anauza duka flani ananielewa ila sijawai kumwelewa. Jana nilienda dukani kwake wateja hakuna, shape yake ilinichanganya, nimefika pale kaanza kunichekea kama kawaida nikajikuta jogoo kapanda mtungi.

Niliingia sehemu anapouzia na alikuwa kasimama, nilienda nyuma yake nikampa kumbatio la nyuma nikampampu vitatu vya nguvu vya nguo. Kiukweli akili ilikuwa imeniruka nilkuwa kama gegedu, mteja alikuwa anakaribia kuingia nikaenda kukaa kwenye kiti maana suruali ilikuwa imejaa. Nilipotulia nikaondoka hata sikutaka kuaga, sijapita hapo tena na hana namba yangu.

Natamani hata ninunue mpira niende bar kumchukua baa medi nipunguze kiwanda. Kuna siku zilinipanda hadi nikawa nataka kufufua viporo na ma ex. Yaani huko bafuni nikienda kuoga ni mwendo wa maji yabaridi tu, najua maji yamoto ntamaliza kazi!
Wacha niunge hii challenge
 
Siachi kuendelea najihisi shujaa
Screenshot_2022-10-05-21-24-25.jpg
 
kwa ushauri mdogo tu, weka mafuta ya kujipaka mwilini nje ya chumba na pia bafuni oga maji baridi, wengi sana huwa wanateleza hapa
mkuu wanajichua kavukavu

Mimi kiukweli mpaka hapa nilipositaki kuwa Elon Musk wala Mo ndio maana hii challenge niliikataa toka mwanzo. Hizi ni mambo za kuhamasisha ushoga maana wanasema nyege zikizidi zikikosa kwa kutokea zinahamia nyuma.

Shauri yenu
 
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kupizi kwa maksudi kwa ngono ama kujichua. Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona unashindwa kujizuia kutoa mbegu basi wewe ni mwanaume dhaifu ambae huna full controll ya mwili wako.

Wanaume wengi waliofanikiwa wakiwemo kina Elon Musk wanafanya hii, Yesu/Issa naye alipitia njia hii. Mwanaume anaeishikilia mbegu bila kuitoa kuna vitu vya ziada huwa anavipata kama;

  • Kuuondoa ukungu kwenye na kumfanya mtu aweze kutunza kumbukumbu mda mrefu.
  • Kuongeza umakini.
  • Kufufua misuli ya uume iliyochoshwa kwa ngono mara kwa mara.
  • Kuongezeka kujiamini.
  • Kuifanya akili iwaze zaidi kufanikisha malengo ya maisha.
  • kuongeza nguvu ya kiroho, n.k.

Binafsi leo ni siku ya 8, nimejikuta mtu ambae jogoo anawika hata nikiwa nafanya kazi. Ninafanya mazoezi na kchangamana na watu lakini kuna muda lazima mawazo ya ku do lazima yaje tu.

Asubuhi nikiamka mnara umekakamaa kama vile nipo form 2 wakati balehe imeshika kasi, juzi niliota ndoto nyevu (wet dream) na asubuhi nakuta boxer imechafuka, japo hii haikuhesabika kutoa shahawa kwa maksudi.

Joto linaloniwakia siyo la nchi hii aisee, kuna huyu binti sura ya baba lakini ana shepu huwa anauza duka flani ananielewa ila sijawai kumwelewa. Jana nilienda dukani kwake wateja hakuna, shape yake ilinichanganya, nimefika pale kaanza kunichekea kama kawaida nikajikuta jogoo kapanda mtungi.

Niliingia sehemu anapouzia na alikuwa kasimama, nilienda nyuma yake nikampa kumbatio la nyuma nikampampu vitatu vya nguvu vya nguo. Kiukweli akili ilikuwa imeniruka nilkuwa kama gegedu, mteja alikuwa anakaribia kuingia nikaenda kukaa kwenye kiti maana suruali ilikuwa imejaa. Nilipotulia nikaondoka hata sikutaka kuaga, sijapita hapo tena na hana namba yangu.

Natamani hata ninunue mpira niende bar kumchukua baa medi nipunguze kiwanda. Kuna siku zilinipanda hadi nikawa nataka kufufua viporo na ma ex. Yaani huko bafuni nikienda kuoga ni mwendo wa maji yabaridi tu, najua maji yamoto ntamaliza kazi!
Sasa hapo mbona hueleweki umesimama wapi?Maana naona mbinguni haupo....ahera haupo....umetufokea weeee mara umerudi huku huku tulipo....Tomba tu kaka,utaishia kubaka tu ufungwe kwa zoezi lako la kipuuzi,huwezi hilo unapaparika tu
 
Back
Top Bottom