Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

Tindikali

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
2,015
2,667

Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.

The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!

Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....

Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!

Hukumbuki hata siku moja uliyolala na amani kwa kupata majawabu ya tatizo moja la Mtanzania? Tanzania tuna shida milioni 60, kila mtu ana msongo, jana umetangazwa mgao wa umeme D'Salaam, kwa hiyo hata kwa Mo Dewji nako wamelala na mikelele ya genereta. Walobaki milioni 59 wamelala na mlo mmoja. Hukumbuki hata siku ulioapishwa Rais wetu? Basi ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa makandokando kibao! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa Waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael Jackson akiwa Spain ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, jina lake lingine ni "the icon of luxury!"

Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie Mtume!

Waafrika, nani atatuokoa????

RIHANNA.PNG
 
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.

The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!

Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....

Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!

Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi!
Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"

Waziri wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Sijui kampuni gani la Span uliliteta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!

Waafrika, nani atatuokoa ????

View attachment 2381816

Duuh umeongea kwa uchungu mwanakwetu mpka mwenyewe nalia machozi nahisi ungekuwa mhehe ungeshajinyonga mkuu 😢😢😢😢
 
Katika hili siwezi kumlaumu JK, amesema kile kilichomgusa maishani mwake kiuhalisia. Amekwepa kuwa mnafiki. Na kila binadamu ana pleasure moments zake binafsi za kumfanya kuzikumbuka zaidi lakini wengi wetu tunaona aibu kuzisema mbele za watu maana zingine ni za ajabu mnoo au kukera watu wengine tukizisema hadharani hivyo tunazuga na kusema vitu vingine ili kuwafurahisha wale wanaotusikia.
 
Kwahiyo mkuu, na wewe ungekutana na Rihana usingekuja kusimulia?
Yawezekana hata zuchu tu hujawahi kukutana nae unamskia tu kwenye redio ukiwa ndani ya basi unaenda ifilandama kijijini kwenu.

Jamaa kastaafu anakula maisha siku ikifika afe kama wengine. Yawezekana wewe ungepewa hicho kiti ungehakikisha unakutana hadi na kina 20 percent.
Tuliza boli.
 
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.

The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!

Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....

Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!

Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi!
Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"

Waziri wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Sijui kampuni gani la Span uliliteta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!

Waafrika, nani atatuokoa ????

View attachment 2381816

Kubwa J....
Hawakukosea kumwita hivyo
 
Wewe siku yako kubwa ni ipi?
 
Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Mnhh!! Labda it was a joke aisee!
 
Daaah amekula bata sana huyu mzee.
 
Back
Top Bottom