Siku bosi wangu alivyogundua "Usifananishe pombe na vitu vya kijinga"

Shin Lim

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
7,004
12,477
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu kulingana na kisa cha siku hiyo.

Ulikuwa mwaka 2018 mwishoni katika NGO ambayo nilikuwa napiga deiwaka.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu ofisini huwa hawajulikani wanafanya kazi gani, kila sehemu anajaribu. Yaani yeyote akichoka anakuachia kazi ukafanyie hata nyumbani. Pale kazini nikawa na marafiki wengi hasa wale wanywa pombe, asikwambie mtu ukiwa na marafiki wanywaji huwezi kupata ugumu wowote kazini hata Kama umeenda field tu, Kwanza utapata marafiki wazuri kwa Kasi ya mwanga.

Kitu ambacho wengi hawakukijua, Mimi nilikuwa Sina mkataba. Niligoma kuwa na mkataba kwa Sababu ungenibana na wakati huo nilikuwa napiga mishe sehemu nyingine.

Siku ya tukio tulitaarifiwa kwamba tutaendesha mafunzo mkoa Fulani, Ila tunatakiwa kwenda siku moja kabla kwa vile kuna kikao binafsi cha ofisi na kitafanyika mida ya saa nane mchana, hivyo kila mhusika ahakikishe anafika kabla ya muda huo.

Baada ya kufika mkoani cha kushangaza muda wa kikao umefika lakini hakuna taarifa yoyote, Mimi nikajisemea hapa simkumbushi mtu yeyote.

Ilivyofika mida ya saa 17 kasoro hivi Mimi nikaanza kula gambe mdogo mdogo. Lilivyoanza kuchanganya nikawapigia wangu tukajumuika na kula Sana gambe mpaka usiku.

Asubuhi naamka nakuta missed call na msg juu kwamba kikao Ni saa nne asubuhi Kisha mafunzo Ni saa nane mchana. Nikawapigia wanangu nikawataarifu kuhusu hayo mabadiliko Kisha wakaanza kujiandaa.

Mimi nikaoga fasta Kisha nikanywa supu nikaagiza safari kubwa ili muda ukifika twenzetu kikaoni.

Jamaa walivyooga wakasema tuendelee kushitua kidogo ukifika nne kasoro twende, na tukaendelea. Muda wa kuondoka ulipofika nikanunua konyagi nikatia kwenye chupa ya maji Kisha tukaelekea.

Pale kwenye kikao, pamoja na Mambo mengine nikambiwa nisome taarifa Fulani kwa niaba ya mgusika, taarifa ulikuwa ndefu. Nikawa nasoma, nikikaukiwa koo nakunywa ile nyagi. La haula kumbe Kuna jirani aligundua kwamba Yale sio maji, nadhani akamwambia bosi kwa msg. Mara nikaambiwa nisitishe kusoma Kwanza, maneno ya bosi hayo. Akauliza hicho ninachokunywa.

Nitaendelea baadae kidogo

Nikiwa
 
Wakuu hii haina episode, Kuna mishe napiga hapa. nikurudi naunganisha pale juu inakuwa imeisha.
Mimi mwenyewe huwa nakerwa sana na episode.
 
Mimi nikiona uzi wa stori nakimbilia chini kwanza kuangalia kama hamna lile neno "itae....lea"
Nikiliona tu, naacha kusoma naendelea na mishe zingine
 
Basi boss akaomba aonje kile kinywaji,nikawa nimemkatalia kibabe.Hatujakaa sawa Kuna mwanangu mmoja ktk wale walevi wenzangu si akaanza kutapika afu matapishi yananuka konyagi mwanzo mwisho.

Basi boss alimaindi kinyama akasema haiwezekani na wewe unaefanya ku-volunteer tu hapa ofisini huna hata mkataba umeanza nawe kua mlevi,Basi nikamcheki yule boss weeee afu nikamwambia unajifanya unaviimba wkt watu wote mwishowao hua ni chini futi 6 tu,tumeshawaona wenzako Kama wewe kibao tu.

Maneno Yale yalimshtua boss sana,akawa Kama anatafakari hivi akasema kesho nimuone asubuhi Sana ofisini kwake

Itaendelea.......
 
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu kulingana na kisa cha siku hiyo.

Ulikuwa mwaka 2018 mwishoni katika NGO ambayo nilikuwa napiga deiwaka.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu ofisini huwa hawajulikani wanafanya kazi gani, kila sehemu anajaribu. Yaani yeyote akichoka anakuachia kazi ukafanyie hata nyumbani. Pale kazini nikawa na marafiki wengi hasa wale wanywa pombe, asikwambie mtu ukiwa na marafiki wanywaji huwezi kupata ugumu wowote kazini hata Kama umeenda field tu, Kwanza utapata marafiki wazuri kwa Kasi ya mwanga.

Kitu ambacho wengi hawakukijua, Mimi nilikuwa Sina mkataba. Niligoma kuwa na mkataba kwa Sababu ungenibana na wakati huo nilikuwa napiga mishe sehemu nyingine.

Siku ya tukio tulitaarifiwa kwamba tutaendesha mafunzo mkoa Fulani, Ila tunatakiwa kwenda siku moja kabla kwa vile kuna kikao binafsi cha ofisi na kitafanyika mida ya saa nane mchana, hivyo kila mhusika ahakikishe anafika kabla ya muda huo.

Baada ya kufika mkoani cha kushangaza muda wa kikao umefika lakini hakuna taarifa yoyote, Mimi nikajisemea hapa simkumbushi mtu yeyote.

Ilivyofika mida ya saa 17 kasoro hivi Mimi nikaanza kula gambe mdogo mdogo. Lilivyoanza kuchanganya nikawapigia wangu tukajumuika na kula Sana gambe mpaka usiku.

Asubuhi naamka nakuta missed call na msg juu kwamba kikao Ni saa nne asubuhi Kisha mafunzo Ni saa nane mchana. Nikawapigia wanangu nikawataarifu kuhusu hayo mabadiliko Kisha wakaanza kujiandaa.

Mimi nikaoga fasta Kisha nikanywa supu nikaagiza safari kubwa ili muda ukifika twenzetu kikaoni.

Jamaa walivyooga wakasema tuendelee kushitua kidogo ukifika nne kasoro twende, na tukaendelea. Muda wa kuondoka ulipofika nikanunua konyagi nikatia kwenye chupa ya maji Kisha tukaelekea.

Pale kwenye kikao, pamoja na Mambo mengine nikambiwa nisome taarifa Fulani kwa niaba ya mgusika, taarifa ulikuwa ndefu. Nikawa nasoma, nikikaukiwa koo nakunywa ile nyagi. La haula kumbe Kuna jirani aligundua kwamba Yale sio maji, nadhani akamwambia bosi kwa msg. Mara nikaambiwa nisitishe kusoma Kwanza, maneno ya bosi hayo. Akauliza hicho ninachokunywa.

Nitaendelea baadae kidogo

Nikiwa
Wee muongo taja professional yako Ni ipi Kia's kwamba kila Kaz unafanya fanyaa, vijana acheni kujifurahisha
 
Basi boss akaomba aonje kile kinywaji,nikawa nimemkatalia kibabe.Hatujakaa sawa Kuna mwanangu mmoja ktk wale walevi wenzangu si akaanza kutapika afu matapishi yananuka konyagi mwanzo mwisho.

Basi boss alimaindi kinyama akasema haiwezekani na wewe unaefanya ku-volunteer tu hapa ofisini huna hata mkataba umeanza nawe kua mlevi,Basi nikamcheki yule boss weeee afu nikamwambia unajifanya unaviimba wkt watu wote mwishowao hua ni chini futi 6 tu,tumeshawaona wenzako Kama wewe kibao tu.

Maneno Yale yalimshtua boss sana,akawa Kama anatafakari hivi akasema kesho nimuone asubuhi Sana ofisini kwake

Itaendelea.......
Umetisha.
 
Back
Top Bottom