Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.
Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani; tukawa tunaongea na kubadilishana mawazo ya hapa na pale.
Mara akaja mkufunzi mmoja wa kike...