siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, anajua kupika? Kwanini jibu gumu siku hizi?

    Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi. Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza! Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea polisi? Siku hizi wanawake wengi nao ni ma-RPC

    Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi. Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine. RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  4. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  5. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga. Imepitwa na wakati. Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga. Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
  7. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

    Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

    Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA. Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  12. Noel france

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ndugai siku hizi hahudhurii hafla za Ikulu?

    Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa Mimi nahoji tu...
  14. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  15. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  16. Ramon Abbas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  17. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl. Nyerere alipigiwa kura licha ya kuwa mgombea pekee lakini leo mgombea akibaki pekee anatangazwa kapita bila kupingwa?

    Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1 Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa. Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
Back
Top Bottom