Kwanini siku hizi Watanzania wanafichwa taarifa za vifo vya majanga hasa ikihusisha taasisi zingine muhimu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu.

Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado hawajarudi na hatujawaona (hawajafa) tena hapa Kijijini kwetu ila hatuna wasiwasi nao kwani huenda Maji ya Mafuriko ya Mvua Kubwa hiyo yakikauka tu watarejea na kuendelea kuwa nao pamoja katika Ujenzi wa Taifa letu na kulinda vyema pia na mipaka yetu.

Otherwise kwa sasa GENTAMYCINE ngoja niangalie wa kumuazima nguo nyeusi ili nivae na kuanzia saa 6 kamili mchana nianze kuhudhuria misiba kama mitatu minne hivi hapa hapa kijijini Morogoro nilipo.

Rest In Peace marehemu wote. Tanzania nzima watafichwa watu wengi kwa yanayotokea au yaliyotokea, ila siyo kwa GENTAMYCINE.
 
Ila kwa Sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro
Acha ya Morogoro, ile ya Dar es salaam ilileta madhara makubwa lakini watu wakapiga kimya, ila tukajiongeza...... yale ya Hanang acha tu ila tukajiongeza......hiyo ya Moro acha tu ila tumejiongeza......

Unajua niljiongeza vipi? Rais alitolea kauli kwenye nyumba ya ibada halafu kuna moja alienda mwenyewe! Ndiyo nikajua kweli maafa ni makubwa!

Nafikiri lengo ni kuondoa taharuki lakini haya ni majanga ya kiasili hata mataifa yaliyoendelea hukutana nayo.

Ingekuwa majengo yanaanguka sawa ,hapa unaogopa uwajibikaji! Unakumbuka lile jengo la Kariakoo wakati wa JK??? Ilifichwa idadi!
 
Karibu hapa Msibani Morogoro Kijijini Mkuu. Nimeongezewa pia na Misiba mingine ya Kuihudhuria kwani nilidhani ni ile Mitatu Minne tu ya Awali kumbe sasa nitaihudhuria Nane Tisa hivi.
 
Hivi utaratibu wa Kusafirisha mfano Maiti za Watu wa Taasisi Muhimu ( hasa Walinda Mipaka ) kama wakifa Mafurikoni wakiokoa Watu / Wananchi mfano Morogoro kwenda Vijijini Kwao upoje Mkuu?

Mtawaficha Wote ila siyo GENTAMYCINE.
 
Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu.

Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado hawajarudi na hatujawaona (hawajafa) tena hapa Kijijini kwetu ila hatuna wasiwasi nao kwani huenda Maji ya Mafuriko ya Mvua Kubwa hiyo yakikauka tu watarejea na kuendelea kuwa nao pamoja katika Ujenzi wa Taifa letu na kulinda vyema pia na mipaka yetu.

Otherwise kwa sasa GENTAMYCINE ngoja niangalie wa kumuazima nguo nyeusi ili nivae na kuanzia saa 6 kamili mchana nianze kuhudhuria misiba kama mitatu minne hivi hapa hapa kijijini Morogoro nilipo.

Rest In Peace marehemu wote. Tanzania nzima watafichwa watu wengi kwa yanayotokea au yaliyotokea, ila siyo kwa GENTAMYCINE.
Ule uwanja vipi? Elewa neno uwanja
 
Kwan wee usiripoti hayo matukio
 
Back
Top Bottom