Maisha siku hizi yamekua vice-versa, no code, no honor. Ushahidi huu hapa

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,729
6,792
Maisha ya siku hizi yanakera sana hasa kwa sisi tulozaliwa zamani kidogo, wengine mtaniita conservative lakini kiukweli mambo yakiendelea hivi dunia itakua ya hovyo sana in 10 years.

No code, No honor.
Yaani sikukuu kubwa kama Chrismas haina zile bashasha tulizozoea. Na sio ya mwaka huu tu,ni miaka yote ya hivi karibuni Xmas imekosa kabisa zile bashasha zake.

Zamani ulikua unakuta nyumba nyingi ndani wamepamba, usiku kila family watu wako bize, wakunwa wanaanda sikukuu, wadogo wanacheza na kuandaa baruti za sherehe inayokuja (mwaka mpya)

Yaani hata watoto wamekua wazubaifu hadi naogopa. Watoto wamezubaa hadi unajiuliza huyu kweli kama hachangamkii hv sikukuu ataweza kweli kuja kuchangamkia fursa za kimaendeleo kama sie baba zake?

Mimi nilikulia familia masikini tu na yenye watoto wengi lakini xmas hakukuaga na masikini, wazee wanapambana ichinjwe mbuzi. Kilichokua kinafanyika familia zinajiunga wanapika pamoja. Hii iliongeza solidarity, na huwezi amini watu walewale tulokua yunakula nao pilau chini kwenye mikeka ndio hawa hawa leo nikikwama sehemu napiga simu nasaidiwa. Sasa najiuliza hiki kizazi kitaendelea vipi?

Hujatulia mara papa anaruhusu mashoga wabarikiwe, yaan mambk ni vice-versa, no honor, no code.

Merry Xmas
 
lipapa la upindee limewaharibia wengii krismasii mazee
FB_IMG_1703333586514.jpg
 
UMESAHAU NA JUA LIMEKUA KALI, WAKATA ZAMANI XMAS LAZIMA MVUA INYESHE.
Si kweli.

Jua kali hivohivo watoto wanakimbizana barabarani kwenda kuenjoy baada ya kushiba pilau. Nipo mikoani na family hadi nimewafukuza wote wakatembee
 
Back
Top Bottom