sigara

Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. Swahili AI

    Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  2. Pearce

    Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

    Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea Vitisho vya Sigara hiyo vimepelekea vikosi vya Urusi kuweka kambi maeneo hatarishi kama kwenye vinu vya nyuklia...
  3. JanguKamaJangu

    Utafiti: Vichungi vya sigara vinatumia hadi miaka mitano kuoza

    Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu. Utafiti wa...
  4. DR HAYA LAND

    Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  5. JanguKamaJangu

    TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela. Meneja wa Kanda ya Mashariki wa TMDA, Gloria Matemu aliyasema...
  6. Rangooo

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

    Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
  7. T

    Jinsi kamari (betting) ilivyonipotezea shilingi laki 6 ndani ya siku 60 tu

    Ahlan wa sahlan. Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari). Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
  8. Frumence M Kyauke

    Kilimanjaro: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuunguza mtoto sehemu za siri kwa moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
  9. T

    Kilimo na matumizi ya bidhaa za tumbaku upigwe Marufuku

    Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake? Kama tumepiga marufuku...
  10. kenny mtanashati

    Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

    Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki? Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara. Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza...
  11. kiwatengu

    Wanawake (Mabinti) wanaovuta sigara

    Wakuu, naona kama hii kitu inaongezeka kwa kasi, kuna Wadada siku hizi wanapiga fegi (sigara) bila uoga kabisa. Hatari ya Wanawake kuvuta sigara ni kubwa kuliko wanaume. Kuna sehemu nimekaa hapa kuna mabinti wanne, wawili wabongo na wengine wazungu wapiga fegi unstoppable. Na kila mwanamke...
  12. beth

    WHO: Idadi ya wavutaji sigara yapungua ulimwenguni

    Shirika la afya duniani WHO, limesema idadi ya wavutaji sigara duniani imepungua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. WHO imezitaka nchi kuongeza hatua zaidi za udhibiti wa kukomesha uraibu wa Tumbaku. Katika ripoti iliyotolewa leo, WHO inasema kwa mwaka 2020 watu bilioni 1.30 walikuwa...
  13. dexterous

    Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Wasalam Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
  14. GEM mama

    Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

    Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile. Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
  15. ndege JOHN

    Corona kali ipo na watu 'wanagongeana' sigara

    Serikali makini mna habari kwamba huku mitaani kundi la watu wanaovuta sigara wanapezana sigara kwa kuwa uchumi sio mzuri? Mtu Winston moja wanavuta watatu sasa wameshazoea wakaona Corona hamna maana wanadai hawajaona ishara za hao washikaji zao kufa kwa wingi. Ndugu zangu Serikali kuweni...
  16. ROJA MIRO

    SoC01 Mvuta sigara Tanzania hutumia kiasi cha Tsh Milioni 16.9 hadi Tsh Milioni 42.3 kununua sigara kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Maulid Kitenge: Unavuta sigara na kunywa pombe kali...unaogopa chanjo?

    Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki, unaogopaje chanjo ya #COVID19 Je, unaionaje kauli ya Kitenge, kiungo mshambuliaji?
  18. M

    Kwanini sigara inasafirishwa kwa ulinzi mkali?

    Wakuu kama heading inavosema, kwanini sigara wakati inasafirishwa inalindwa kwa ulinzi mkali?
  19. Yoda

    Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi? Tafiti zimeonyesha sigara ni...
  20. Mr Dudumizi

    Hakuna mvuta sigara asiefanya hivi...

    HabarI zenu ndugu zangu. Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo. Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula, Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu...
Back
Top Bottom